Mahakama ya rufaa leo hii imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kusini, ndugu Kafulila kwa kukosa nguvu ya kisheria.
Kafulila alimkatia rufaa mbunge wa Kigoma kusini Ndugu Husna Mwilima kwa kudai kuwa aliporwa ushindi.
Mahakama imemtaka ndugu Kafulila kulipa gharama zote za kesi hiyo.
Chanzo: Azam news
[emoji2] [emoji2] [emoji2] naona hata Mwanahabari Huru hakuibandika taarifa hiiIngekuwa huyo Ndugu Kafulila ndiye ameshinda habari hizi tungwezipata mchana....duh...namba inasomwa kikweli kweli
[emoji2] [emoji2] [emoji2] naona hata Mwanahabari Huru hakuibandika taarifa hii
Ukiona kimya hivyo ujue kaliwa mwanahabari huruuu (siyo huru)!!!!!!!Ingekuwa huyo Ndugu Kafulila ndiye ameshinda habari hizi tungwezipata mchana....duh...namba inasomwa kikweli kweli
Jamani kuweni wakweli mahakama ilichosema nikuwa kiapo kile kina upungufu wa kisheria lkn haizuii haki kutendeka hivyo imempa nafasi ya kufanya mabadiriko ili kesi ianze. Jamani mungu anawaona!?Mahakama ya rufaa leo hii imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kusini, ndugu Kafulila kwa kukosa nguvu ya kisheria.
Kafulila alimkatia rufaa mbunge wa Kigoma kusini Ndugu Husna Mwilima kwa kudai kuwa aliporwa ushindi.
Mahakama imemtaka ndugu Kafulila kulipa gharama zote za kesi hiyo.
Chanzo: Azam news