Kafulila aisambaratisha Act... Kigoma

Kafulila aisambaratisha Act... Kigoma

chuuma

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
363
Reaction score
557
KAFULILA AISAMBARATISHA ACT KIGOMA.

Katika mkutano wa jana Kigoma mjini , aliyekuwa mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila alisisitiza kwamba watu wa Kigoma tusidanganywe na mwanasiasa yeyote kwamba kuna chama cha watu wa Kigoma.

Wala kigoma hatuna uhaba wa vyama. Kama kuna chama kinajiita cha watu wa Kigoma afadhali kijibadilishe kutoka chama cha siasa kiwe chama cha michikichi na mawese.

Ni aibu dunia nzima inajua UKAWA ndio tumaini la watanzania dhidi ya utawala mbovu wa ccm halafu kigoma tujazane ujinga wa vyama ambavyo ni matawi ya ccm.
Wanaeneza uzalendo kwa hisani ya ccm
 
Kammaliza zitto kwa kuendekeza ukabila
 
Ni katika mkutano mkubwa kuwahi kutokea kigoma ambao ulihutubiwa NA lowasa NA kafulila mwenyewe,kafulila alisema hawezi kuwa mwanachama wa chama cha kikanda
 
KAFULILA AISAMBARATISHA ACT KIGOMA.

Katika mkutano wa jana Kigoma mjini , aliyekuwa mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila alisisitiza kwamba watu wa Kigoma tusidanganywe na mwanasiasa yeyote kwamba kuna chama cha watu wa Kigoma.

Wala kigoma hatuna uhaba wa vyama. Kama kuna chama kinajiita cha watu wa Kigoma afadhali kijibadilishe kutoka chama cha siasa kiwe chama cha michikichi na mawese.

Ni aibu dunia nzima inajua UKAWA ndio tumaini la watanzania dhidi ya utawala mbovu wa ccm halafu kigoma tujazane ujinga wa vyama ambavyo ni matawi ya ccm.
Wanaeneza uzalendo kwa hisani ya ccm

Asante sana mheshimiwa sana kafulila kwa kuwapa somo zuri sana ndugu zetu wa kigoma ambao zzk alikuwa anawafanya wajinga na kuwadanganya,UKAWA NDIO TUMAINI LETU WATANZANIA
 
acha ujinga, acha uongo, acha upotoshaji. kafulila alizomewa na mgeja alizomewa pia. baada ya kuzomewa kafulila watu walianza kuondoka
 
Asante sana mheshimiwa sana kafulila kwa kuwapa somo zuri sana ndugu zetu wa kigoma ambao zzk alikuwa anawafanya wajinga na kuwadanganya,UKAWA NDIO TUMAINI LETU WATANZANIA

Ushabiki ni kitu kibaya sana. You suddenly stop using common sense.!!
 
Zzk alitaka kujifanya mfalme wa kigoma,Tabora na Katavi,amechakazwa vibaya
 
Back
Top Bottom