Kafulila aisambaratisha Act... Kigoma

Kafulila aisambaratisha Act... Kigoma

KAFULILA AISAMBARATISHA ACT KIGOMA.

Katika mkutano wa jana Kigoma mjini , aliyekuwa mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila alisisitiza kwamba watu wa Kigoma tusidanganywe na mwanasiasa yeyote kwamba kuna chama cha watu wa Kigoma.

Wala kigoma hatuna uhaba wa vyama. Kama kuna chama kinajiita cha watu wa Kigoma afadhali kijibadilishe kutoka chama cha siasa kiwe chama cha michikichi na mawese.

Ni aibu dunia nzima inajua UKAWA ndio tumaini la watanzania dhidi ya utawala mbovu wa ccm halafu kigoma tujazane ujinga wa vyama ambavyo ni matawi ya ccm.
Wanaeneza uzalendo kwa hisani ya ccm

nakugea masaa mawili usipoondoa naweke ile video crip inayotembea kule tweeter tshuhudie alivyozoemewa na wanainchi wa kigoma
 
Yeye kaanza zito atamaliza asijione mfalme ----- tu yule hana jipya huyo mshamba kafulila ---- tu na lofa
 
Yeye kaanza zito atamaliza asijione mfalme ----- tu yule hana jipya huyo mshamba kafulila ---- tu na lofa

Usitokwe povu mkuu sana mkuu Ona Mafuriko ya Act haya:😎😎
 

Attachments

  • 1441471912797.jpg
    1441471912797.jpg
    15.7 KB · Views: 226
Yeye kaanza zito atamaliza asijione mfalme ----- tu yule hana jipya huyo mshamba kafulila ---- tu na lofa

lucy thawe tulia upate uji wa moto kwenye kikombe cha bati.....moto moto moto....pipoooooz....haki sawa.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom