Kama ni wafuatiliaji wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, pia kufanya summary ya wachangiaji humu JF, utapata clue kuwa ZITO anamkakati wa kuwania uongozi wa juu CHADEMA ili kujiweka sawa mbio za urais, hii ni baada ya kufeli mkakati wa kumwengua MBATI nccr!
TATIZO ni kauli za Dr slaa kipindi kile wanamtimua KAFULILA kuwa huyu Bw mdogo alikuwa sisimizi aliyekuwa anataka kuivuruga cdm, na akasema ama kafulila aondeke au yeye Slaa aondoke!
sasa ZITO amesuka mpango, slaa ale matapishi yake...je slaa atakubali?
elewa kuwa viongozi wa nccr waliohamia cdm kule arusha juzi ni mkakati!
elewa kule jimboni kigoma viongozi wanapiga debe kuwa watahamia chadema, ikimaanisha wanamfuata kafulila....sasa je ...slaa atampokea kafulila cdm?
Well n' good YOTE SIASA! THE TIME WILL TELL, BUT ASAP!