Kafulila achukuwe Ubunge wa Zito Kabwe 2020, piga ua!

Watanzania kama nyie mmezoea kutawaliwa na akili ndogo, changamoto za kimawazo hamjazoea. Enewei niishie hapa.
 
Watanzania wengi hatutafaid nchi Kama tutaendelea kuweka vyama badala ya watu wenye uwezo na weledi unatoa kiongozi mwenye mtazamo chanya unaweka chama kupitia MTU mwenye mtizamo basi what do you expect
 
Kwahyo wewe zito ameshampa dingi yako maisha bora maana tayari ni mbunge
Alichokifanya Zitto kuhoji wapi magufuli alipozipeleka 1.5 trillion zilizopotea ni zaidi ya maisha bora. Hii itamsaidia baba yako kule kijijin kupata mgao wa mil. 50 ambazo waliahidiwa na Mh.Rais kama akirudisha hizo 1.5 Trillion.
 
Back
Top Bottom