Kafulila achukuwe Ubunge wa Zito Kabwe 2020, piga ua!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Iwe kwa kawaida au mbinde lkn Zito Kabwe ni lazima ashindwe Ubunge Kigoma, napendekeza Kafulila amg'oe, ...
 
Zitto ni mtu muhimu sana na kafulila ni muhimu sana,ila kwa kgm ninayoijua mimi,zitto kurudi bungeni ni ndoto.mwisho wake umefika.watu wa khm ni wa ajabu sana.
 
Kwani Pole pole ni mbunge? Mbona anafanya kazi yake vizuri ya roporopo? Kuna maisha nje ya ubunge acheni kukariri

Ndiyo ninavyotaka hivyo kwamba atafute kazi nyingine nje ya Ubunge!
 
Wana CCM humu kama.wehu vile. Sasa nani anawazuia kuyachukua majimbo yote nchini? Futeni sheria ya vyama vingi turudi kwenye chama kimoja. Very simple. Sasa nyie mnataka kutumia njia ngumu na kuapa kwiingi. Hopeless kabisa.
 
Wana CCM humu kama.wehu vile. Sasa nani anawazuia kuyachukua majimbo yote nchini? Fuyeni sheria ya vyama vingi turudi kwenye chama kimoja. Very simple. Sasa nyie mnataka kutumia njia ngumu na kuapa kwiingi. Hopeless kabisa.

Mimi siyo CCM!
 
Iwe kwa kawaida au mbinde lkn Zito Kabwe ni lazima ashindwe Ubunge Kigoma, napendekeza Kafulila amg'oe, ...
Kumuondoa Zitto kwenye ubunge ni kukuhujumu Taifa letu. Rejea hoja ya Zitto dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Madini, Karamagi. Ongeza na bomu la ubadhirifu wa 1.5 tr ambalo hadi sasa mmeshindwa kutoa majibu ya kuridhisha.

Vv
 
zitapigwa kura za hasira huko endapo kafulila akinusisha pua pale ujiji
 
Back
Top Bottom