Kafaulu kidato cha nne but ni combless

Kafaulu kidato cha nne but ni combless

hkna ttzo mkuu.. private wnamchkua vzuuur kbisa
 
Ndugu wana jf kuna ndugu yetu amehitimu kidato cha nne mwaka Jana alipata DIV III 25 katika masomo tisa ana C Tatu ambazo hizina combination yaani KISWAHILI CHEMISTRY NA ENGLISH ana D tano na F moja ya PHYSICS anahitaji kwenda private ila anapenda asome CBG cdd au

EGM xdd naomba mwenye ufahamu juu ya usajili wa necta form six anijuze je atasajiliwa ili ajuae mapema
Anaweza akasoma advance,tena bila wasiwasi wowote ule,kama yupo tayari unaweza nichek through 0656415981,nitakusaidia.
 
advance anasoma bila shaka kabisa, ila kwa uhaba uliopo wa shule za serikali huenda asichaguliwe. mwaka 2018 mtu wa mwisho kuchaguliwa CBG mvulana alikuwa na CCC na msichana alikuwa CCD.

private anaenda bila shaka kabisa.

SIFA ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2020/2021
1. C tatu katika tahasusi (hata kama ana F zote)
2. C 3 za masomo yeyote ispokuwa ya dini ila katika tahasusi au na ufaulu angalau D
3. akiwa na upungufu wa C 3 anaweza kujiunga na kidato cha tano huku anaristi.

KARIBU IBRA HIGH SCHOOL.
 
Ndugu wana jf kuna ndugu yetu amehitimu kidato cha nne mwaka Jana alipata DIV III 25 katika masomo tisa ana C Tatu ambazo hizina combination yaani KISWAHILI CHEMISTRY NA ENGLISH ana D tano na F moja ya PHYSICS anahitaji kwenda private ila anapenda asome CBG cdd au

EGM xdd naomba mwenye ufahamu juu ya usajili wa necta form six anijuze je atasajiliwa ili ajuae mapema
Soma hiyo attachment kwa umakini. Combi anayoweza kufanya bila maswali mengi ni HKL. CBG na EGM hapo zimegoma nionavyo mimi.

Lakini pia tukumbuke sio lazima aende F5-ukiangalia ufaulu wake utaona ni wa chini kwa kiwango fulani, kama hakuwa na sababu inayo eleweka kwa kupata matokeo hayo F5 inaweza kuwa mzigo au kiama kwake. Ana ufaulu mzuri wa kwenda Diploma ambayo akiwa muangalifu inamuwezesha baada ya miaka mitatu kujiunga na masomo ya degree au atumikie ujuzi atakao kua amepata.
Hakuna maamuzi rahisi hapa lakini aelezwe kila kitu ndio afanye maamuzi.
 
Attachments

  • Form five selection 2018 and the selection criteria for academic year 2018-2019.jpg
    Form five selection 2018 and the selection criteria for academic year 2018-2019.jpg
    58.1 KB · Views: 8
Back
Top Bottom