Kafara za ngono

We jamaa huwa unakuwa MUONGO MUONGO SANA. nlihisi hili jambo halitakupita utalitafutia UONGO kama ulivyofanya kwa Dr Shika Ukaumbuka ukijidai yeye ni Shushushu kumbe hamna kitu.

Hakuja kafara ya kukutaka urecord video kama hiyo then eti ufanikiwe ni Uongo wa kitoto na mshana unaamini sisi wote humu watoto. UNATUKOSEA SANA WATU WAZIMA.

 
MSHANA AMEDANGANYA. KAFARA HAZIHITAJ MTU AJI RECORD THEN IVUJE. HUU NI UONGO WA KITOTO NA MSHANA ANADHANI WOTE HUMU NI WATOTO. Watu wazima pia wamo. Hili suala halina kafara hata chembe kama ni gwajima kafanya makosa ya kiufundi ku record akila mzigo ili acheck baadaye alivyokuwa akisugua mashine. Hamna lolote jingine asitake kudanganya kama alivyodanganya kwa dr shika.

 
Ni hili tu ama una la ziada? Bro wengi wamesoma na kupita kimya... Umeiona haukufai ungepita kimya... Sitakaa niache kuandika nionacho kinafaa kuandikwa nami
 
Amekubali kichwa ni chake ila amefanyiwa editing ili kumuondoa kwenye reli.

Dah nimeangalia press yake alipisema ni editing nilizima data.
 
Uhalisia video ni fake na walioiandaa wana target zao. Wakati mwingine ni vema ukafanya utafiti yakinifu ili kubaini uhalisia Wa jambo.
 
Umesoma reply yangu kwa huyo jamaa ama unataka tu kulazimisha kuwa nimeandika uongo?
Kwani hakuna hizo kafara?
Kwani Gwajima hana maadui?
Kwani mawasiliano yake hayawezi kudukuliwa?
Na una ithibati gani kuwa nimeandika uongo?
 
Uhalisia video ni fake na walioiandaa wana target zao. Wakati mwingine ni vema ukafanya utafiti yakinifu ili kubaini uhalisia Wa jambo.
Wewe umefanya utafiti gani kujua kuwa ni feki? Hebu weka genuine details hapa
 
Hapa mshana katumia tukio la Gwajima kutengeneza story yake.
Kuwa kafara zinapigwa picha kutumwa kwa wenyewe!!! dont believe.
Hapo hatudanganyiki,hiyo video ni ya kitambo sana na wala sio yeye, MSHANA kwa uzi huu umezingua
 
Ah ah ah ah ah
 

Poapoa boss
 
UONGO UONGO MWINGI.
Mshana kila Tukio unalitengenezea Thread

We jamaa hupitwi
Jamani hebu kuweni ma GT haitoshi kusema nasema uongo... Ainisha uongo wangu hatua kwa hatua.... Usisome nyuzi zangu kama unasoma gazeti la udaku utatoka kapa
 
Hapo hatudanganyiki,hiyo video ni ya kitambo sana na wala sio yeye, MSHANA kwa uzi huu umezingua
Kitambo...!? Kipi? Weka ushahidi.... Hizi blah blah hizi haziwezi kujibu hoja yangu kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…