Kafara halina rivasi

Kafara halina rivasi

Kama hivi tu
Kwa hiyo kitu ndani Boksi ndio mpango mzima
IMG-20191023-WA0113.jpeg
 
umenifanya niwaze kuku ambao hua nawachinja, na pia enzi za ujana nilipo kua nawadungua ndege na manati na kuwafanya vitoeo. Kwa hyo mambo yangu yasipoenda vzr ni wale kuku na ndege wananililia?🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Kuna kutenda bila kujua ama kunia.... Madhara yake ni madogo sana na sometimes yasiyoonekana kabisa... Tatizo ni pale unapoenda kwa mganga wa kienyeji kutafata mafanikio... Hii ni dhamira ya wazi
 
Back
Top Bottom