Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,862
- 8,511
mganga akienda kuzimu anakabidhi roho za wadau wake aliowasaidia kwa commander in chief
Kila kitu inategemea unafanya kwa muktadha gani... Kama ni kwa ajili ya lishe na umemchinja kwa njia zinazokubalika hakuna shida... Na hata kama kuna mtu alichinja akatumia damu kwa mambo yake kisha akagawa nyama watu wale bado nyama ile haina shida kwa walajiVipi hawa mbuzi tunao wachinja ili sisi tunywe supu
Nao tunakuwa tumekatisha uhai wao (life span ) yao kimwili
Ina maana kiroho huwa wanatulilia ????
Je nazo ni kafara??
Vipi hawa mbuzi tunao wachinja ili sisi tunywe supu
Nao tunakuwa tumekatisha uhai wao (life span ) yao kimwili
Ina maana kiroho huwa wanatulilia ????
Je nazo ni kafara??
Duuh kwa ajili ya kufanikiwa kimaisha suUnatengeneza commotion ya imagination.... Unachinja kisichoonekana... Unanuia na kufanya kila kitu lakini kwa kufikirika tuu
Ukiachana na kumwaga damu kuna kafala za aina nyingine zenye nguvu zaidi kwa masharti madogo ama yasiwepo masharti kabisa?Leo nimekuwahi Mshana,like nyingiiii