Yaani kutoa mimba kunafanywa kama mchezo fulani. Kweli tupo kwenye heat of the momentHuyo bwana hana akili kwahyo azae halafu mtt apelekwe wapi?! Mwambie huyo dada afanye kile anaona sahihi kwa manufaa yake.kama kutoa ni sahihi kwake atoe na kama ni kuiacha aache
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
Alichokuwa anataka mwanaume ni kumtorosha huyo mwanamke,baada ya bibie kugoma ndipo akamwambia basi azae na akishazaa aendelee na maisha yake ila amwachie kichanga kitalelewa huko atakako kipelekaHuyo bwana hana akili kwahyo azae halafu mtt apelekwe wapi?! Mwambie huyo dada afanye kile anaona sahihi kwa manufaa yake.kama kutoa ni sahihi kwake atoe na kama ni kuiacha aache
Binadamu hatujakamilika hata siku moja,unamzungumziaje anayemwacha mwanamke anayemwacha mumewe nyumbani na kwenda kuchepuka?Hakutaka kushiriki kipindi kigumu na mtu aliyekula naye kiapo kuwa watakuwa pamoja kwenye shida na raha matokeo yake akamuacha jamaa anateseka yeye anafarijika huko. Muache akinywe kikombe chake mwenyewe.
Si unasikia matukio ya wivu wa mapenzi,hofu yake kubwa ni hofu hajui mumewe atalipokeaje hili baada kuujua ukweliMaisha ni muhimu zaid kuliko ndoa. Hawezi mfanya chochote , amfate jela, amchane, kuw aliona miaka 40 haina future, akajiongeza. Life liendelee
Je baba wa kambo atakuwa na mapenzi ya dhati kwa mtoto atamlea kama ambavyo angemlea baba yake mzazi?wasiwasi ni kwamba huyo mtoto anaweza akafanyiwa kitu kibaya na huyo baba wa kamboMwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
Usichoke ushauri wako muhimu Sana,ikifika zamu yako nawewe utahitaji ushauri na utashauriwa hakuna bingwa wa maishaAfanye ajualo tushachoka kushauri starehe zao wenyewe,uyo mwanamke mumewe akija kujua atakiona cha mtema mkaa ,ataambiwa aliomba afungwe kabisa
Haaah ww unahisi afanyeje na ujinga ni wakeYaani kutoa mimba kunafanywa kama mchezo fulani. Kweli tupo kwenye heat of the moment