Nakumbuka kuna siku nilikoswa koswa na kibao chambuzi kilikua kimetegeshwa juu ya kabati la vyombo...kujitia ufundi watu tupo jikoni purukushani mzigo ukatua sentimita chache pemben ya kichwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi sahau aisee
HahahaaaaItakua ni wewe mkuu
aisee😅Hahahaaaa