Kafa akishiriki tendo la watu wazima

Kafa akishiriki tendo la watu wazima

Mzee Mitomingi alikuwa noma, alimpa pombe aina ya Mnazi hatimaye Ngoswe kaangusha Gari na kuchoma nakala zote za Sensa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoswe alijaa king

Haya mambo yameanza kitambo [emoji28][emoji28]
 
Kuna chuda mmoja alikoswakoswa kufyekelewa mbali mikono yake na feni lile la pangaboi. Ile staili ya kumbebelea mikononi ke huku ukizunguka nae chumba kizima unammbato kakushika shingoni, chuma kilipokolea si akajiachia mkono mmoja kaunyosha juu ayayaaa! ayaaa! ayayaaaa! almanusra feni lipitie mkono wake
 
Babie Swalehe mie sijaelewa mkuu
Ina maana walikuwa wanafanyia kwenye paa au wapi hasa?
 
Nakumbuka kuna siku nilikoswa koswa na kibao chambuzi kilikua kimetegeshwa juu ya kabati la vyombo...kujitia ufundi watu tupo jikoni purukushani mzigo ukatua sentimita chache pemben ya kichwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi sahau aisee

[emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Kuna chuda mmoja alikoswakoswa kufyekelewa mbali mikono yake na feni lile la pangaboi. Ile staili ya kumbebelea mikononi ke huku ukizunguka nae chumba kizima unammbato kakushika shingoni, chuma kilipokolea si akajiachia mkono mmoja kaunyosha juu ayayaaa! ayaaa! ayayaaaa! almanusra feni lipitie mkono wake
Ingekua poa sana

Magazeti yangeripoti , apata ajali mapenzini [emoji28][emoji41]
 
Kuna chuda mmoja alikoswakoswa kufyekelewa mbali mikono yake na feni lile la pangaboi. Ile staili ya kumbebelea mikononi ke huku ukizunguka nae chumba kizima unammbato kakushika shingoni, chuma kilipokolea si akajiachia mkono mmoja kaunyosha juu ayayaaa! ayaaa! ayayaaaa! almanusra feni lipitie mkono wake

Itakua ni wewe mkuu
 
Kwa hiyo wakati wa Tendo Walikuwa wana cheza kabadi au?
 
Back
Top Bottom