Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Mtu na mpenzi wake mmenishinda tabiaYetu macho kipenzi
Mtu na mpenzi wake mmenishinda tabiaYetu macho kipenzi
Hivi una vipenzi wangapi?Yetu macho kipenzi
Nilikwambia nipo.Siku hizi kukuona tu Kama nacheza biko Si kujificha huko
Jirani kipenzi wa KKMtu na mpenzi wake mmenishinda tabia
JiraniMtu na mpenzi wake mmenishinda tabia
Hivi una vipenzi wangapi?

Carba wewe sio mtu mzuri kabisa rafiki yanguJirani kipenzi wa KK
Jirani bado ninakinyongo na wewe ujueJirani
Nimefanyaje tena?Carba wewe sio mtu mzuri kabisa rafiki yangu
Nilikaa kimya sababu nilikuwa natafuta njia ipi nitumie kufikisha hizi habari.Jirani bado ninakinyongo na wewe ujue
Ahahahaaaaa naona unataka kunibambikia kesi.Nimefanyaje tena?
Me bado nina hasira za kunitekea KK wangu...
Eti eehNilikaa kimya sababu nilikuwa natafuta njia ipi nitumie kufikisha hizi habari.
Kumbuka tumevuka vikwazo vingi jirani kipenzi
Ahahahaaaaa naona unataka kunibambikia kesi.



yes bby ila baadae tuweke hii mada vzr bhana. huwezi kunyamaza na wakati ni jirani akoYetu macho kipenzi
karibu, mimi naamini kwa kujiaminiThanks madam welcome
Pole dia, ulitutafsiri vibaya. Sisi tulikuwa ni majirani tunaopendana sana.
Ukanipokonya KK wangu,kurudi mnaitana vipenzi mara kapata baby mpya daah!!roho bado yauma
hunter umenigeuka hata weweHunter hunted.![]()
hqahahahahahah kwani kulikuwa na list? jaman jaman mbona makubwaaaaaaaaaaaaPole dia, ulitutafsiri vibaya. Sisi tulikuwa ni majirani tunaopendana sana.
Ulichukulia hasira mpaka nafasi akaijaza jje's