BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,420
Hii ni nature, nashangaa mtu anajisifia anaumri wa Miaka 40, 50,60,70 ila hasemi kama amekaribia kufa.
Ni sawa mtu anaweza kufa katika umri wowote ila kadri umri unavyoenda ndivyo KIFO unakikaribia.
Baada ya kusema hayo ujue kama una Miaka 40 kama utakufa na Miaka 80 umebakiza 40... Jitafakari.
Kama una Miaka 50 na kama utaishi Miaka 80 umebakiza Miaka 30
Kama una Miaka 60 hivyo hivyo na sabini
Sasa basi baada ya kusema hayo
Unapotaja umri mkubwa ulionao sema pia nimekikaribia KIFO.