Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Kada mkongwe wa CHADEMA na msaidizi wa Lema jijini Arusha anayejulikana kwa jina la Kadogoo anasema haamini kama Lema kakimbilia Kenya.
"Mimi ndiye niliyempa Lema jina la Mandela baada ya kukaa maabusu takriban miezi minne (4) na akaendeleza mapambano" anasema Kadogoo "Ila sasa katuangusha watu wa Arusha na wafuasi wa CHADEMA" ameendelea kusema " kweli wanasiasa hawaaaminiki"
Kadogoo anasema kwa mshangao "hadi nilipomsikia BBC ndio niliamini kuwa jamaa kakimbia mapambano". Kadogo anasema yeye na wenzake wengi wameamua sasa kuachana na siasa ili kujikita na kutunza familia zao kwani wanasiasa waliowaamini wamewaacha na wamekimbia na familia zao.
Brother "sisi tumetesa familia zetu kisa wanasiasa lakini wao wajanja wanapenda familia zao"
My take
Akili za kuambiwa changanya na zako.Leo hii vijana wengi wameacha shule,wamekuwa vilema au hata kupoteza maisha yao kisa ulaghai wa wanasiasa. Sasa hili ni fundisho.