PreGE2025 Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR) ikikamilika Mkoa wa Mwanza utakuwa kitovu cha biashara kanda ya ziwa.

Kadogosa ameyasema hayo usiku Jumanne Machi 18, 2025 katika hafla iliyofanyika jijini humo kuangazia miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani.

1742458114127.jpeg

Mkoa huo unaunganishwa na SGR kwa kipande cha lsaka - Mwanza chenye urefu wa kilomita 341 ambacho kinajengwa kwa gharama ya Sh3.06 trilioni na hadi mwezi huu ujenzi wake umefikia asilimia 63.04.

"MIliyoyaona kanda ya ziwa ni yaliyotendeka na yanayoendelea kutendeka katika ujenzi wa reli, tunazungumzia miaka minne ya Rais Samia, kwa sisi watu wa ukanda huu lengo tunalijua, mradi huu ukikamilika Mwanza itakuwa kitovu cha biashara," - amesema Kadogosa.

Soma, Pia: Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%

1742458706023.jpeg
Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye amesisitiza mradi huo utakamilika na kuwanufaisha wakazi wa ukanda huo

"Reli imeanza (SGR) na mchakato wa ujenzi katika vipande vingine unaendelea, endeleeni kumuamini Rais wetu ilimradi tuliapa kuwasaidia, tutawatumikia na mtanufaika na mradi huu"- amesema Majaliwa.

1742458168612.jpeg
 
Samia hajajenga hata kilometer 1 ya reli.. huo mradi wa mwanza isaka pesa ilikua ishapatikana tayar kabla ya Magu kufariki.

Chakushangaza vipande alivyovizindua yeye hakuna hata kimoja kinaendelea pamoja na kwamba mkopo alishapewa wa ufadhili.
 
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
 
Attachments

  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    10.9 KB · Views: 27
Samia hajajenga hata kilometer 1 ya reli.. huo mradi wa mwanza isaka pesa ilikua ishapatikana tayar kabla ya Magu kufariki.

Chakushangaza vipande alivyovizindua yeye hakuna hata kimoja kinaendelea pamoja na kwamba mkopo alishapewa wa ufadhili.
We kwl ni mbwa koko
 
Biashara gani kama siyo ya uchuuzi wa vifaa kutoka India na China.

Serikali ijipange kwa kuanzisha viwanda vya uzalishaji kwa kutumia mali ghafi za ndani kama mazao ya kilimo, uvuvi na mifugo vinavyoengeza thamani na ajira nyingi kwa waTanzania.

Badala ya kuwa taifa la wachuuzi wa kusaidia ajira zipatikane kwa wingi katika viwanda vidogo na vikubwa vya nchi za nje kama India, China, Turkiye n.k

Reli isiwe tegemezi kwa asilimia kubwa kwa shughuli za nchi jirani, maana zikiingia ktk machafuko au nchi jirani kubadili sera au kutuwekea vikwazo reli yetu ikiwa tegemezi kwa ukubwa kabisa shughuli za kiuchumi na viwanda nchi jirani haitakuwa na mrejesho wa faida kwa gharama tuliyotumia kuijenga

Ni wakati muafaka SGR reli mpya inayoendelea kujengwa iendane na mipango mahsusi kuhakikisha viwanda vidogo, viwanda vikubwa, kilimo kikubwa cha kisasa, ranchi kubwa za mifugo ya aina zote vinajengwa kando ya reli hii ya SGR kwa haraka na mpangilio mzuri wa kuhakikisha bidhaa zinapakizwa kwa uharaka na kwa tija kusafirishwa mikoa mingine na hata nje ya nchi.
 
Mfano wa Ufanisi wa SGR uunganishwe na miundombinu mingine

View: https://m.youtube.com/watch?v=vPx2A_QERFM

Roll On - Roll Off (RO-RO) - Ubunifu wa kipekee wa malori yaliyopakiwa juu ya mabehewa ya reli. Huduma hii imesaidia madereva wa lori kwa njia tofauti kama vile utumiaji mdogo wa mafuta, kupungua kwa uchakavu wa lori na matairi yake, unafuu kwa madereva kwa kutoendesha kwa mwendo mrefu na uchovu mkubwa pia husaidia mizigo kufika eneo kusudiwa kwa uharaka na ni muunganiko wa makampuni yenye maroli kuwa wateja wa SGR na SGR kuwa wateja wa malori.

Pia kuifanya SGR ya Tanzania iwe na mfuto kutumika zaidi ya washindani wake waliopo nchi jirani kutokana na uwezo wa kutoa huduma kwa ufanisi wa juu.

Roll On - Roll Off (RO-RO) - A unique innovation of trucks loaded over railway wagons. This service has helped truck drivers in different ways such as lesser fuel consumption, decrease in wear and tear of truck & its tyres, relief to drivers by no driving in extreme conditions

View: https://m.youtube.com/watch?v=K7eSeoL0LHM
 
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
Magu hawajawahi bagua mkoa wowote taja hakuna mkoa ambao hukuguswa na neema za magufuli
 
Samia hajajenga hata kilometer 1 ya reli.. huo mradi wa mwanza isaka pesa ilikua ishapatikana tayar kabla ya Magu kufariki.

Chakushangaza vipande alivyovizindua yeye hakuna hata kimoja kinaendelea pamoja na kwamba mkopo alishapewa wa ufadhili.
1742464041540.png

kweli mkuu samia hajajenga hata kilometer moja maaana magufuli alikuwa hai mwezi wa tano 2021 wakati mradi unaanza
 
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
labda alfikiria ikifika isaka itruka mpaka dar. fikiria hta iikamilika itabdi isubirie mpaka 2027 reli ya tabora -isaka itakapokuwa imekamilika.
 
Dodoma .....Tabora kimyaaas miaka 2 sasa Yepi yuko nje site.....
kimyakivipi kuna icha za kuveriify kuwa hakun kinachoendeelea mpaka sasa. mbona kazi inaendelea tu labda useme speed ilipunga hapo ka kutokana malipo kuchelewa
 
Mradi huu ni moja ya miradi mikubwa pasua kichwa kwa kuwa katika uhalisia lazima uchukue miaka zaidi ya kumi kukamilika kabisa lots / vipande vyote kuwa na muunganiko

TOKA MAKTABA :

Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika...​

kimyakivipi kuna icha za kuveriify kuwa hakun kinachoendeelea mpaka sasa. mbona kazi inaendelea tu labda useme speed ilipunga hapo ka kutokana malipo kuchelewa
Najua nachosema Yepi hayuko site mkuu bafo anadai na kudaiwa pia....mimi mmojawapo nawadai mwaka 2 sasa....kuna uwezekano dom tabora wakauza kwa wachina waje na loan wajenge tudaiwe in 20yrs .....Yepi hana pesa .....kujenga aje adai mbeleni....alitakiwa akopeshwe ila riba kubwa banks hapa Tz.....
 
Back
Top Bottom