Kadili unavyo mshobokea ndio unazidi kujipa ugumu wa kupata

ITR

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
4,451
11,359
Natumai humu ni wazima wa afya, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Vijana wenzangu unapo kuwa unafukuzia mwanamke punguza shobo na kujipendekeza kupita kiasi maana utajikuta unatumia nguvu kubwa na pesa nyingi kumpata au saa nyingine kumkosa kabisa.

Kama unamfukuzia mwanamke fulani alafu ukashindwa kubalance shobo haki ya mungu hakuna rangi utaacha kuiona kutoka kwake.

Na ndio maana watu wakimia ambao kwa mtazamo wako unaweza ukawaona kama maboya fulani na kuwaita madomo zege huwa hawatumii nguvu kubwa kupata wanawake ,maana wengi wao hawana muda wa kuendekeza shobo dhidi ya wanawake.

Sijui nini sababu ya hili lakini huo ndio ukweli na usipo ukubali utaendelea kuteseka na kitu kinacho itwa mapenzi.

Yangu ni hayo tu.
 
Natumai humu ni wazima wa afya, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Vijana wenzangu unapo kuwa unafukuzia mwanamke punguza shobo na kujipendekeza kupita kiasi maana utajikuta unatumia nguvu kubwa na pesa nyingi kumpata au saa nyingine kumkosa kabisa.

Kama unamfukuzia mwanamke fulani alafu ukashindwa kubalance shobo haki ya mungu hakuna rangi utaacha kuiona kutoka kwake.
Na ndio maana watu wakimia ambao kwa mtazamo wako unaweza ukawaona kama maboya fulani na kuwaita madomo zege huwa hawatumii nguvu kubwa kupata wanawake ,maana wengi wao hawana muda wa kuendekeza shobo dhidi ya wanawake.
Sijui nn sababu ya hili lakini huo ndio ukweli na usipo ukubali utaendelea kuteseka na kitu kinacho itwa mapenzi.

Yangu ni hayo tu.
Kumbe
 
Kila mwanamke unayemuona, jua tu kuna suckas wa kutosha tryna to get with her, so be different. Never impress a girl that doesn't like you already, kuna wenye uwezo huo zaidi yako.

Wanawake wengi wanategemea kushobokewa, hata kama baadhi hawapendi. So usiposhoboka, they doubt themselves and become curious what makes you so special. But you gotta be one cool dude too, bro, sio umekaa tu kimandazi mandazi. Work and focus and focus on yourself, son, and see how you become a prize.
 
Kama ni mtu wa shobo sana mwanamke anakuona haujiamini na haupo real hivo hawezi kukuzingatia, wewe balance machete huku ukoendelea na shughuli zako wale wanaume wanaolialia mbele ya wanawake ndio kabisa wanaonekana maboya, mwanamke anataka akuone wewe sio dhaifu unajiamini hapo haruki
 
Kila mwanamke unayemuona, jua tu kuna suckas wa kutosha tryna to get with her, so be different. Never impress a girl that doesn't like you already, kuna wenye uwezo huo zaidi yako.

Wanawake wengi wanategemea kushobokewa, hata kama baadhi hawapendi. So usiposhoboka, they doubt themselves and become curious what makes you so special. But you gotta be one cool dude too, bro, sio umekaa tu kimandazi mandazi. Work and focus and focus on yourself, son, and see how you become a prize.
Wewe umenena, sio wewe ni kijana wa hovyo halafu unafata huu ushauri, utaumia. Sometimes shobo zinasaidia hasa kwa waongeaji/wacheshi.
 
Back
Top Bottom