KADI ZA CCM zACHOMWA MOTO UDOM

KADI ZA CCM zACHOMWA MOTO UDOM

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657









Kadi za CCM zimeliwa na moo tr 25 June 2011 UDOM.. mchakato huo ulikuwa chini ya TINDU LISU akiamuru vija lazima tuitambue nchi yetu tena vijana lazima tujue haki za msingi kama wasomi tena watetezi wazuri wa maisha yetu ya baadaye vile vile baadhi ya walifanya tendo la busara kurudisha kadi za CCM ndipo zikaachomwa moto……
 
Ukichoma kadi moto ndo solution?au ndo kikwete ataondoka madarakani?embu acheni upuuzi huo.
 
Nimeipenda japo itapokewa tofauti! Kuchoma moto hilo ni utekelezaji wa badiliko la kikemia! Tumekuwa tukishushudia badiliko la kibaiolojia katika siasa za kipumbavu za ccm zenye machungu kwa watz!! Wakati ndio huu wa miti kusema na mawe kujibu!!!!!!!
 
Vipi t-shirt na kofia za magamba hawakuzichoma pia.
 
Nimeipenda japo ingependeza sana hivyo ndivyo anavyopenda kufanya nape, acha warudishe vyote ,kofia,kanga na vitenge.ccm tuendenao hivyo kabla ya katiba watakuwa wametia akili.
 
Safi sana vijana wanahasira na nchi yao,CCM ni wanyonyaji,hawafai hata kidogo.
 
Kuchoma moto kadi za CCM, siungi mkono hata kidogo.
Ni kweli hautaunga mkono kwasababu ktk kadi zilichomwa hakuna moja iliyo yako. Kadi ni mali ya mwenye kadi akiisha ilipia. Ana hiari ya kuitupa chooni, baharini, kuwapa viongozi wa CHADEMA au hata pia kuichoma moto. Mimi nasema wafanye ile kitu moyo napenda.
 
I know wat's next..ccm nao watachoma moto za chadema..then mgao wa umeme utaisha,mfumuko wa bei utapungua,uchumi utakua nk nk!...
 
Zinaanza taratibu leo kadi, kesho kofia na khanga, keshokutwa majengo ya ccm na magari yao, huku tunakokwenda sio siasa nzuri
majengo yenu mengi ni mali ya WaTZ, mlijimilikisha kifisadi,hatuta choma moto, ila tutawarudishia WaTZ wenyewe, hii ni pamoja na viwanja vya soka. . . .
 
Siasa za Tanzania bwana.......................Ujinga mtupu mpaka zinatia kinyaa.............aaaaaaaaaaaaaaarghh!!!!!!!!!!!!!
 









Kadi za CCM zimeliwa na moo tr 25 June 2011 UDOM.. mchakato huo ulikuwa chini ya TINDU LISU akiamuru vija lazima tuitambue nchi yetu tena vijana lazima tujue haki za msingi kama wasomi tena watetezi wazuri wa maisha yetu ya baadaye vile vile baadhi ya walifanya tendo la busara kurudisha kadi za CCM ndipo zikaachomwa moto……

Of all the people......Tundu Lissu!!!!!!...............................OMG...

This is too low for mheshimiwa Lissu.............
 
Sijui inauma,Wangemrudishia nape na madudu mengine ...hivi ninyi mnaishi wapi?
Kama mtanzania na kijana wa unaeijua kesho yako unathubutuje kuyavumilia manyanyaso ya wazi yanayotendwa naserikali dhalimu ya ccm ?
Mfano_ Vijana wa elimu ya juu(UDOM) kufukuzwa kwa kosa la kudai haki zao,fursa mbali mbali kugawiana kwa misingi ya u CCM tu na si utaifa ,
kila anaepigania haki zake za msingi anaonekana mhalifu .....huu sio wakati wa kua mtumwa kifikra na huu si wakati wakuhofu kifo haiingii akilini kwa mtu anaejitambua kuona uamuzi huu sio wa busara ....wacha tuseme imetosha sasa .............na c kadi tu .............
 
Back
Top Bottom