Mchekechoni
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 279
- 19
Hamjalazimishwa kuweko huko hata mwalimu aliwahi kusema "CCM sio baba yangu na wala mama yangu". Isijekuwa mmekichoka chama kwa kuwa walitegemea mbebwe mmesahaulika kama ndo hivyo hata mkiingia kwenye vyama mbadala mtachemsha tu. Tafutane chama mbadala mjiunge nacho mkishindwa kukipata kuweni raia msio na vyama ila wanaharakati.
na wewe sanga fisadi!duh, nitoke sisiem hivihivi tu, haiwazekani, lazima nitoke na dowans yangu.
Mimi kadi yangu ipo nimeiweka tuu! siilipi ada niwalipe MAFISADI!Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!
Ahahahahaaah!!kama una choo cha shimo nenda kachambie hiyo kadi yako.
mkuu mapinduzi yanafanywa na wenyepesa mkuu na mafisadi!fanyeni mapinduzi ya uongozi ndani ya chama!
bado una kadi ya ccm?