Kadhia hii insababishwa na nini?

Kadhia hii insababishwa na nini?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
images (11).jpg
Tujadili kidogo jamani, jamii ya wadada zetu imekuwaje siku hizi na kwa nini?
 
Mwisho wa dunia!!!!!! na haya ni mambo ya kuiga hizi sio tabia zetu, sasa haya yanaonekana wanayoyafanya je? hayo tusiyoyaona si ndio balaa kubwa Khhhhhhhhhhh
 
upande wa pili hautoi huduma ipasavyo!
ni kwamba wengi wetu hawajui mahitaji ya hivi viumbe katika hayo mambo,kwa hiyo wakikutna wao wanajua namna ya kuridhishana vema.
 
Mwisho wa dunia!!!!!! na haya ni mambo ya kuiga hizi sio tabia zetu, sasa haya yanaonekana wanayoyafanya je? hayo tusiyoyaona si ndio balaa kubwa Khhhhhhhhhhh
tunaweza kuja na kamkakati wa nn kifanyike?
 
upande wa pili hautoi huduma ipasavyo!
ni kwamba wengi wetu hawajui mahitaji ya hivi viumbe katika hayo mambo,kwa hiyo wakikutna wao wanajua namna ya kuridhishana vema.
ni kweli sasa hivi nguvu za kiume ni janga la Taifa, wewe jaribu kwenda manzese pale useme nauza dawa za nguvu za kiume uone jinsi vijana watalavyokukimbiliA.....iatakuoa uchambuzi wa kina
 
Back
Top Bottom