- Thread starter
- #21
Kama unakumbuka vyema wakati wa chaguzi za mwaka jana kijana Molle alivamiwa na kuumizwa vibaya,sasa kwa hili lililotokea sio jipya kwa siasa za arusha ni jipya kwa 2014;Note;Utakapotumia silha basi mwezako nae ataamuwa kutumia silha;