Kada wa CHADEMA ndg. Vitalis ajeruhiwa huko arusha

Kada wa CHADEMA ndg. Vitalis ajeruhiwa huko arusha

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
Vijana wanaosadikiwa ni wa Chama Cha Mapinduzi,GreenGuard
Wamemteka na kumuumiza kijana Vitalis wa Chadema ,
Kijana Vitalis kwa sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru Arusha,
Nimwendelezo wa matukio yanayofanya na vijana hao wa CCM Arusha,
Kikosi cha RedBriged cha Chadema kinawasaka wahusika kwa uhudi na uvumba,
Vitalis ni dereva wa bodabodal; hii ni picha ya Vitalis akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha Mount Meru.
1236978_387630738040599_1295585008_n.jpg
 
Litakuwá ni kundi la good kitomar maana wao na Bananga hawaivi tangu kura ya maoni watu
 
Kam.ata wote na mchukue acti.on,tumewavumilia hadi tume choka.


'watumie po.lisi,usalama wa ta.ifa, watumie utekaji,hadi vijana wao?

Yote ili kuishusha chadema aaah! Hii ina tosha.

'bavicha mpooooooo!
 
Kam.ata wote na mchukue acti.on,tumewavumilia hadi tume choka.


'watumie po.lisi,usalama wa ta.ifa, watumie utekaji,hadi vijana wao?

Yote ili kuishusha chadema aaah! Hii ina tosha.

'bavicha mpooooooo!

Yale mambo ya 0714 yamewafanya kama mdobwedo bavicha Arusha
 
Siasa za arusha zina wenyewe, na wenyewe ni chadema.


'c.c.m hawana chao.
 
Kwa muda sasa imekuwa ni kawaida kwa vijana wa upizani kuumizwa hususani wa chadema,kwa hali kama hii haivumiliwi tena,

​
 
Upende mmoja utakapo tumia silha basi na wewe tumi silha,

 
Kwa muda sasa imekuwa ni kawaida kwa vijana wa upizani kuumizwa hususani wa chadema,kwa hali kama hii haivumiliwi tena,

​

Mbona mlishaa semaga Arusha ni ya Chadema sasa hao wanaowapiga wametoka wapi ??
 
Siasa za kutekana ndio zimeanzaeeh aya banah
 
nani alianza kumchokoza mwenzake. Mimi niko arusha na ni mwenyeji wa arusha, ni vigumu sana kwa mtu kutoka ccm kumjerui mwanachadema kwani chadema family ni kubwa, alafu arusha ccm wanaishi kiuoga, lazima mshika alienda kuingia kwenye anga zao,
 
kwa muda sasa imekuwa ni kawaida kwa vijana wa upizani kuumizwa hususani wa chadema,kwa hali kama hii haivumiliwi tena,

​

more tolelance is nothig!
,for us to be judged as a dog in our freedom struggle.

"its time for actions"
 
Back
Top Bottom