Kada wa CHADEMA kuiaga SAUT leo

Greda

Greda

Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
95
Likes
0
Points
13
Greda

Greda

Member
Joined Apr 20, 2012
95 0 13
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut na kada wa CHADEMA Padri Kitima ,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae si rahisi kutabiri endapo atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho au ataendeleza wembe ule ule .

Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali na kuisahau biblia,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.

Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.
 
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
6,177
Likes
2,230
Points
280
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2009
6,177 2,230 280
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut padri Kitima,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho.
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.
Hee!!!!!!! hivi kuikosoa Serikali ni Uchadema, hivi Deo Filikunjombe, Luaga Mpina and the like wana kadi namba ngapi za Chadema? Sasa nimegundua hata nchi ya Rwanda ipo Chadema maana wameikosoa Serikali yetu hivi karibuni.
 
M

Mpenda Posho

Senior Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
184
Likes
0
Points
0
M

Mpenda Posho

Senior Member
Joined Oct 29, 2012
184 0 0
Sentesi yako ya kwanza na ya mwisho inaonyesha jinsi uwezo wako wa kufikiri ulivyo. Inawezekana umekosa sanaa ya kupanga hoja, umeshasema juu ya kuzika siasa chuoni hapo na Mkuu mpya, mwoisho unauliza swali na kutusubirisha, kwani aliyekuambia hiyo kauli ya mwanzo humuamini? Siasa na maisha kwasasa huwezi kuzitenganisha labda ni ushabiki tu utatofautiana, kumbuka siasa zinamgusa kila mtu la maana ni kuangalia tunaendeshaje hizo siasa.
 
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
2,476
Likes
472
Points
180
Age
29
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
2,476 472 180
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut padri Kitima,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho.
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.
- Kwahiyo mtu yeyote anayekosoa utendaji wa Serikali lazima awe mwanachama wa chama fulani cha siasa particularly CHADEMA?
- Wananchi wasio na vyama hawana ruhusa ya kukosoa utendaji wa Serikali na chama chako cha ccm?
- Huyo anayekuja ulishawahi kufanya naye kazi wapi hadi useme directly kuwa "atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho"?
- By the way, Dr. Kitima aliwahi kusema yeye ni kada wa CHADEMA?
Huu uzi wako naona umekaa kama yale mambo aliyokuwa akiyasema Mh. Masaburi.
 
saronga

saronga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Messages
909
Likes
2
Points
35
saronga

saronga

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2008
909 2 35
Sentesi yako ya kwanza na ya mwisho inaonyesha jinsi uwezo wako wa kufikiri ulivyo. Inawezekana umekosa sanaa ya kupanga hoja, umeshasema juu ya kuzika siasa chuoni hapo na Mkuu mpya, mwoisho unauliza swali na kutusubirisha, kwani aliyekuambia hiyo kauli ya mwanzo humuamini? Siasa na maisha kwasasa huwezi kuzitenganisha labda ni ushabiki tu utatofautiana, kumbuka siasa zinamgusa kila mtu la maana ni kuangalia tunaendeshaje hizo siasa.
Tusimlaumu sana aliyepost, alikuwa na haraka zake za kuwahi buku 7 pale lumumba
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
28,439
Likes
34,026
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
28,439 34,026 280
Katika uundaji wa serikali ijayo ambayo itakuwa chini Chadema inapaswa kumfikiria huyu mtu katika nafasi za kiutendaji maana ni mkereketwa wa maendeleo na muadilifu
 
commited

commited

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
1,618
Likes
17
Points
135
Age
28
commited

commited

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
1,618 17 135
mleta uzi huu elimu yako hajakukomboa.. wala huna huruma na wananchi wenzako ambao 80% ni maskini wanaoishi chini ya tsh 1640/= kwa siku.
 
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
504
Likes
0
Points
0
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
504 0 0
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut padri Kitima,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho.
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.

Ina maana NCCR hawaikosoi serikali?
 
K

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
649
Likes
7
Points
35
K

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
649 7 35
Peleke aibu yako kule. Yaani yeyote anayekosoa ccm ni chadema, hii ndio tatizo la akili za kupopa ambazo zimechakachuliwa na rushwa.
ni aibu kubwa sana kwa vijana kuishabikia huo uozo na magenge ya wahuni yanayo fadhiliwa na ccm
 
M

MOSSAD II

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
3,974
Likes
18
Points
135
M

MOSSAD II

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2013
3,974 18 135
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut padri Kitima,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho.
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.
Huna sifa ya kuwa Grader(labda kama ni la miti)!! We ni mkokoteni wa punda wa kwa akina MWIGULU!!
 
Laurence

Laurence

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
3,106
Likes
41
Points
145
Laurence

Laurence

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
3,106 41 145
Kaaazi kweli kweli,ina maana ukiikosoa serikali unaonekana ww ni CDM hii hatari sana kama ndio mawazo ya makada wengi wa CDM
 
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
4,321
Likes
20
Points
135
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
4,321 20 135
Katika uundaji wa serikali ijayo ambayo itakuwa chini Chadema inapaswa kumfikiria huyu mtu katika nafasi za kiutendaji maana ni mkereketwa wa maendeleo na muadilifuUsijali tutampa cheo tu kwani serikali ijayo ya cdm ni ya kidini an yeye ni padri kwa nn tumnyime uwaziri, atapata mkuu.
 
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,479
Likes
536
Points
280
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,479 536 280
Nenda kitima nenda fisadi mkubwa fikilia vyuo vyote vya SAUT pesa za special fucult wanaibiwa hata wanaosoma kiswahili hakuna mahitaji wanayopewa kwa pesa hiyo 60 elfu kwa mwaka zote wanapiga ,Bima ya afya uwe nayo usiwe nayo 100000 kwa mwaka wanapiga tu SAUT

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Greda

Greda

Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
95
Likes
0
Points
13
Greda

Greda

Member
Joined Apr 20, 2012
95 0 13
Mi nshamaliza kutoa ujumbe hayo mengine ni yenu,mara Mwigulu,uzalendo,kuponda wala kusifia havinihusu,chadema ccm hawanihusu,ila mukusika mwenyewe alideclare kuwa chadema,sasa si kada huyo?au mlitaka niandikeje?Baadhi ya wanachadema mnaamini ubishi ndio siasa hata kama ni wa kipumbavu,sioni cha kubishania hapa zaidi ya kumuombea afya njema jamaa aendelee kupiga kazi huko aendako,au hata awe mgombea binafsi maana kwanza ni padri,acheni ulimbukeni nyie chadema mliocomment hapa mnataka tuwaandikeje ndio muone kuwa hatuna bias?Sabodo ni nani?sasa ikitokea tumuandike humu KADA tutakosea nini?acheni ulimbukeni,siyo kila mtu anaponda kama mlivyo nyie wachache na wajinga!!!Kweli jamaa alikuwa kada tena kwa mazuri,siyo kama baadhi yenu,na sisi wanachuo tunamtambua kama kada,sasa kama wewe unabisha tupe neno mbadala wa kada
 
A

afwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
4,087
Likes
111
Points
160
A

afwe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
4,087 111 160
Uzuri wa thread yako umejitahidi kuonyesha hisia zako zaidi kuliko ujumbe mkuu wa kutujulisha kuwa Kitima amestaafu SAUT
 
Greda

Greda

Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
95
Likes
0
Points
13
Greda

Greda

Member
Joined Apr 20, 2012
95 0 13
Soma reply yangu ya mwisho uone mimi na wewe nani mwenye akili na mjinga!CDM mnapenda sana sifa,sasa ulitaka nimpe jina gani kama yeye mwenyewe hukiri kukipenda Cdm,hv unajielewa kweli wewe?au ndo kina Ngereja na kina Nyambari nyie,mpo mpo tu kufuata upepo.
 
abel frank

abel frank

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Messages
108
Likes
0
Points
33
abel frank

abel frank

Senior Member
Joined Apr 11, 2013
108 0 33
ina maana nccr hawaikosoi serikali?
je,cuf,wahariri na wabunge particularly wa ccm na watetezi wa haki za binadam nao ni wana m4c?
Hapa ndo tunakuja kuamini kuwa m4c ni chama makin,cha wanyonge,ukweli na uhakika tukiunge mkono vilivyo.
 
Forum statistics

Threads 1,272,346
Members 489,924
Posts 30,448,179