Duh!!
Haya bana, kama ccm mmeamua kutufanyia hiv sisi raia tusio na kosa, itafika wakati wa kulipa, na hakika mtalipa. Nape, wewe ni kijana mdogo sana, nakuonea huruma sana.
Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
Hapo CCM wala haihusiki, nyie CDM wenyewe toeni ukweli, vijana wenu wa Arusha ndio wamefanya haya mauaji, kwani mnafikiri hatujui kuwa kuna vijana wenu waliozulumiana hela huko igunga. Waislamu hawatakiwi CDM na wengi watauwawa.
Dah, imeniuma. ila sijapenda kudisplay picha ya deceased mtandaoni, ni kinyume na haki ya privacy ya marehemu na family yake may sue you in the court of law. angalau ungeweka picha yake akiwa hai, stil would make sense.