Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,618
Hapana....wataua sasa lakini wana mwisho wao hao. Kwani Samuel Doe wa Liberia alikuwa anawafanyaje wapinzani wake .....lakini mwisho wake yeye si alifungwa uume wake na kuanza kuvutwa mpaka ukanyofoka na wananchi wenye hasira kali..!! Hao wa CCM watapata malipo yao hapahapa duniani ..Mungu atuweke hai tu tushuhudie hayo!Kama JK jana tu amewaachia huru wauaji (convicted before the court of law) wa Imran Kombe (FYI the murder was political motivated). Hivi mnafikiri JK atapata wapi moral authority ya ku-insitute uchuguzi huru wa Kijana Masoud Mbwana. This was a deliberately killing to send a clear message to others kwamba if you will dare to stand to our election victory we are going to murder you with impunity. Hence kuwatisha vijana wasiendelee kujitolea tena kuwa wakala wa CDM.
CCM and JK they are mumiani, wataua na wataendelea kuua, kwasababu CCM USHINDI WAO NI LAZIMA, CDM lazima hili mlisema kwa nguvu zote ili dunia ijue u-mafia wa CCM.
ritz kwenye ishu za majonzi kama hizi jaribu kuficha ushabiki wako, hivi toka umeingia kwenye hii thread umekutana na mizaha? huu ni msiba wa mwenzetu onyesha japo umeguswa na kifo cha binaaadamu mwenzakoMtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni
Unazungumzia magamba au magwanda?Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
MODS ona lugha hizi....huyu asipokula ban tujue kwamba mnaruhusu haya.
Kwa sababu Mwenyekiti wa CCM,Katibu Mkuu,Mwenezi,wa Fedha na Mambo ya nje wote ni madebe shinda hiyo waliona ndio njia halisi ya kuwatisha makamanda wengine watakaopenda kujitolea kufanya kazi za chama,lakini hakika wameshindwa angalia hizo picha hapo juu,vijana kwa majonzi makuu,wapo pamoja na uongozi wa Chadema kwenye mazishi,wana CCM Igunga wameshikwa uoga hakuna hata aliyehudhuria mazishi hayo,tayari Magufuri,Kafumu,Mkapa,Kikwete Mwigulu,Wassira Nape Mnauye,na wana CCM uchwara wametengeneza chuki kubwa baina ya wananchi huyo mbunge wa CCM ameingia kwenye kundi la wauaji damu ya kamanda Masoud haitaisha bure,kwa nini hakumzika kwa kuficha kwenye mapori ni roho yake ilikuwa inakataa,na hakika waauaji,majambazi chama cha magamba kimejipalia mkaa IgungaHili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
Kwa haraka haraka unaweza kudhani Masoud alienda kumfurahisha mbowe kwa sababu uko kwenye mrengo wa kunufaika na huu utawala mbovu kuliko wote tangu nchi iapate utawala kutoka kwa mwingereza,Ukweli hii ni kazi ya Mh.Dr Jakaya Kikwete akishirikiana na watoto wake na mkewe Ridhiwani,Miraji,Halfani na Salma,kukandamiza haki za watu kwa namna yeyote ile ikiwemo kutumia polisi,usalama wa taifa,Takukuru,mahakama na Bunge yote hii ni katika njia ya kuinyonga demokrasia kwa kutishia watuNdo maana naichukia siasa kuliko k2 chochote dunia hii wakina mbowe watapata umaarufu kutokana na jambo hili na watazidi kupata jina lkn ni hasara gani familia yake imepata je chadema kwel wataitunza familia ya marehem na kama dini zote zinavyoamin kwl hizo r.i.p ze2 zitamsaidia kumuweka mahala pema kwl huko mbingun .
Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
kama ccm haihusiki basi niwewe unahusika.Hapo CCM wala haihusiki, nyie CDM wenyewe toeni ukweli, vijana wenu wa Arusha ndio wamefanya haya mauaji, kwani mnafikiri hatujui kuwa kuna vijana wenu waliozulumiana hela huko igunga. Waislamu hawatakiwi CDM na wengi watauwawa.
Kwa haraka haraka unaweza kudhani Masoud alienda kumfurahisha mbowe kwa sababu uko kwenye mrengo wa kunufaika na huu utawala mbovu kuliko wote tangu nchi iapate utawala kutoka kwa mwingereza,Ukweli hii ni kazi ya Mh.Dr Jakaya Kikwete akishirikiana na watoto wake na mkewe Ridhiwani,Miraji,Halfani na Salma,kukandamiza haki za watu kwa namna yeyote ile ikiwemo kutumia polisi,usalama wa taifa,Takukuru,mahakama na Bunge yote hii ni katika njia ya kuinyonga demokrasia kwa kutishia watu
Historia inasema vitisho manyanyaso,uuaji wa watu wasio hatia ni nembo muhimu za ukombozi huyu mzee hapo IKULU ahesabu siku kutoka kwa aibu kubwa kuliko maraisi wengine ni muuaji sana
Kumbe mmeua ili liwe fundisho..sasa nimeanza kuwaeleweni lakini kwa taarifa yako kadri mnavyozidi kuua ndiyo mnavyoongeza ujasiri wa vijana.Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.