Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Ndio Shuguli za Makada wa Ccm kutapeli?Kuna fununu ambazo zilikua zikisambaa humu kua ndugu wa karibu wa mbunge wa arusha mjini wametapeli kampuni ya mtu, hivi walishairudisha?
Ndio Shuguli za Makada wa Ccm kutapeli?
Mmmh! Kweli wewe stroke.Kuna fununu ambazo zilikua zikisambaa humu kua ndugu wa karibu wa mbunge wa arusha mjini wametapeli kampuni ya mtu, hivi walishairudisha?
Wale waliomkamata kabla ya polisi kufikaAmepigwa pingu mkononi, ni ishara kuwa waliomkamata ni polisi. Lakini, naona kama amevuja damu nani kampiga? Ni wananchi walimpa kipigo ndo polisi wakaingilia au ni polisi wenyewe?
KabisaMkuu..
Kwani Lile Jina La Vi..Wa..Vi si ndio Ilani yao chamani
View attachment 342924
View attachment 342925
View attachment 342926
Habari zilizonifikia hivi punde kutoka Jijini Arusha zinahabarisha Kada Maarufu wa CCM jijini humo ndugu Ibrahimu Kafimbi amekamatwa akitapeli wafanyabiashara wa Arusha kwa kujifanya yeye ni afisa biashara na yeye ndio anakusaya hela za mabango ameshikwa na Mihuri na risiti feki za jiji la Arusha.
Huu ni mwendelezo wa Vijana wengi wa CCM wanaotapeli watu Arusha kwa kigezo wao ni maofisa wa halmashauri mtoa taarifa amehabarisha.
Kuna fununu ambazo zilikua zikisambaa humu kua ndugu wa karibu wa mbunge wa arusha mjini wametapeli kampuni ya mtu, hivi walishairudisha?
Ccm na ufisadi wizi ni sawa na nzi na kinyesiAiseee hivi Hiki chama cha ccm nani alikipa hilo jina mbona wanaccm wanaiba sana hawana Hata huruma . Afungwe kabisa
Ni aibu sana kwa ccmDuh huyu jamaa namfahamu sana mara ajiingize kwenye parking wakamstukia leo kakamatwa lazima wakuu wa CCM wapo polisi muda huu kumwokoa kijana wao mratibu wa wizi wa kura.
watu wa Arusha ndio zao hakuna CCM wala CHADEMA ni zao watu wa kskzView attachment 342924
View attachment 342925
View attachment 342926
Habari zilizonifikia hivi punde kutoka Jijini Arusha zinahabarisha Kada Maarufu wa CCM jijini humo ndugu Ibrahimu Kafimbi amekamatwa akitapeli wafanyabiashara wa Arusha kwa kujifanya yeye ni afisa biashara na yeye ndio anakusaya hela za mabango ameshikwa na Mihuri na risiti feki za jiji la Arusha.
Huu ni mwendelezo wa Vijana wengi wa CCM wanaotapeli watu Arusha kwa kigezo wao ni maofisa wa halmashauri mtoa taarifa amehabarisha.
View attachment 342924
View attachment 342925
View attachment 342926
Habari zilizonifikia hivi punde kutoka Jijini Arusha zinahabarisha Kada Maarufu wa CCM jijini humo ndugu Ibrahimu Kafimbi amekamatwa akitapeli wafanyabiashara wa Arusha kwa kujifanya yeye ni afisa biashara na yeye ndio anakusaya hela za mabango ameshikwa na Mihuri na risiti feki za jiji la Arusha.
Kwa uandishi wa aina hii itafika wakati tukaanza kusoma: 'Mwanachama maarufu wa CHADEMA ashikwa kwa ujambazi'; 'Majambazi matano ambayo ni CHADEMA yavamia benki na kupora mamilioni ya fedha'; 'MwanaCCM akamatwa kwa kubaka binti yake wa miaka miwili'; 'MwanaCUF acharaza mwenzie mapanga: kisa ugomvi wa eneo la biashara'...Mungu atuepushe na uandishi wa aina hii ndani ya JF.
Huu ni mwendelezo wa Vijana wengi wa CCM wanaotapeli watu Arusha kwa kigezo wao ni maofisa wa halmashauri mtoa taarifa amehabarisha.
Niwajuavyo watu wa Arusha mimi japo siyo mkazihuko Ni tabia ya ccmwatu wa arusha ndio zao hakuna ccm wala chadema ni zao watu wa kskz