GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii nchi watu hatari sana hawafai kuishi kabisa ni Huyu Rostam na Kikwete ikiwa na Makonda hawa kama kunamtu anaye uchawi aniambie tuwamalize
Chimbuko la haya yote ni udhaifu na ulafi wa viongozi , wasiokuwa wazalendo waliotanguliza kufikia ego and self esteem zao na wala siyo maslahi ya nchi .
 
Huyu mtu ni muongo sijapata kuona rostam aziz,igunga ni kwao,ana nyumba za ukoo na ana duka na mara nyingi alikuwa anakuja igunga,tena sio mara moja,tatizo ni watu kutomjua rostam
Mtu mweupe asijulikane Igunga! Wewe utakuwa
 
Rostam mwenyewe anasema kumuongelea pole pole ni kumpa kiki za bure .na alimuongelea Kwa kua kaulizwa .
Shughuliken na lissu atoke jela sio pazur huyo pole pole miezi miwili nyuma mlikua hamtaki hata kumsikia
 
huu mtanange uendelee
 
Huyu mtu ni muongo sijapata kuona rostam aziz,igunga ni kwao,ana nyumba za ukoo na ana duka na mara nyingi alikuwa anakuja igunga,tena sio mara moja,tatizo ni watu kutomjua rostam
Je, vipi kuhusu madili ya kuinyonya Tanganyika?
 
Unataka ushahidi, nakupa kafuatilie skendo ya Richmond iliyozaa downs au Kagoda na EPA
Hiyo skendo naijua lakini hapakuwa na ushahidi wowote wa kumtia hatiani rostam bro,tume inapochunguza kitu ikimaliza uchunguzi wake,kama kuna jinai badi shauri hupelekwa mahakani,ambapo ndio chombo pekee kinachoweza kumtia mtu hatiani
 
Kuna sehemu alipinga au kukanusha au kum sue Mengi siku anatajwa kama fisadi papaa na tajiri Mengi?
 
Kuna sehemu alipinga au kukanusha au kum sue Mengi siku anatajwa kama fisadi papaa na tajiri Mengi?
kwani hukuona rostam pia alimtuhumu marehemu mengi kuhusu ufisadi wake? uliona mengi anakanusha?Hizi porojo za wafanyabiasharaambao hugombania maslahi,usizitegemee kabisa kwani hiyo ni vita yao wao binafsi
 
Usipo mkubali rais wa taifa lako utaishi Kwa huzuni Kila cku
Maana huna Cha kumfanya ila wazelendo wanaeza kukutoa marinda 😃
 
Ileje sasa nimeanza kumuelewa, yeye ni CCM independent thinker,remain blessed always
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…