Mawazo ya kigaidi haya.itafika mahali polisi watakuwa wanawindwa na raia mitaani ili kuwalipiza visasi
polisi wanapouka genge la mateso ni hatari sana.
wanachi wakichoka hakuna wa kuweza kuwatuliza.
tena hao polisi tunapishi nao mitaani na kunywa nao.
sasa wewe kwa akili yako ya bavicha unadhani kila anachosema wakili ni sahihi? Kama ndio hivyo sasa kesi ya nini?
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU.
Tanzania Daima liliandika kuwa Lwakatare kule lumande amedhoofika kwa kisukari, kesho yake tunamuona mahakamani anacheka na kunyoosha vidole vyake viwili juu akiwa mzima wa afya.
Kesi ya ughaidi haiwezi kumalizwa kwa kucheza na sympathy card za gazeti la KIDAKU la Tanzania Daima...
mkuu tuongee uhalisia nini maana ya gazeti la udaku..................
pili kama tunajadili mada then wewe unatoka nje kwa kuwa huwezi kufanya reasoning huoni una tatizo nakushauri usome kitabu kinachoitwa logic reasoning kitakusaidia kuandika hapa na pili kitakusaida katika siasa zako.
kama tanzania daima ni gazeti la udaku je UHURU ni gazeti la nini
Kama ameshikiliwa na polisi na hakuna mtu anayeruhusiwa kumuona mmejuaje kwamba anateswa? Daima acheni kuandika habari zenu kishabiki namna hii
HUYO NI MTUHUMIWA TU, SIDHANI KAMA SHERIA ZETU ZINARUHUSU KUTENDWA HIVYO.Alafu ndugu yangu, natambua kuwa haya unayaandika kishabiki lakini tambua yana mwisho haya, na iko siku utakuja kuutambua unyama wa wa POLISI siku watakapokutesa wewe ama ndugu yakao wa karibu.Pamoja na tofauti zetu za kiitikadi, kwa mambo kama haya ya ukiukwaji wa haki za binadamu nauvunjaji wa sheria za nchi wote kwa pamoja tunapaswa kuungana kukomesha ufedhuli huu.Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
Nashukuru kwa kusema asante ndo kawaida ya utanzania wetu.Kimsingi mkuu tuache kujadili propaganda tujadili vitu halisia tatizo lako na wengine ndani ya chama chenu mnataka kuelewa kuwa watanzania bado hawawezi kufikiri ila hamuwezi kubadili ukweli kuwa uongo hapa nina maana kuwa cku zote ukweli utabaki kuwa wa kweli na uongo unajitenga.Soon haya yote yataisha ziko wapi kesi za mbwembwe zilizokabili wanachadema na viongozi wake kule arushaTanzania Daima lina vigezo vyote vya kuitwa gazeti la UDAKU. Ndio maana Kibanda aliachana nalo, bahati mbaya akaadhibiwa kwa uamuzi wake huo.
Btw way asante kwa reference ya kitabu cha logic. Mungu akibariki nitakisoma...
Kama ameshikiliwa na polisi na hakuna mtu anayeruhusiwa kumuona mmejuaje kwamba anateswa? Daima acheni kuandika habari zenu kishabiki namna hii
Kwahiyo hilo ndio linawapeni uhalali vijana wa bavicha kuwatukana na kuwadharau wanawake?
Wewe unataka ndoa na huyu mtu? Dr Slaa ana mke wake bwana tulia wewe maana haipiti usimtaje Dr Slaa na hapa ndio lengo lako .Hivi KUBWA LA MAADUI litakamtwa lini?
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
Hivi ndugu shughuli zako za kukuingizia kipato uwa unazifanya saa ngapi,maana asubuhi na usiku kabla ya kulala uwa najaribu kupitia post mbali mbali,yaani wewe uwa unaonekana kwenye post kibao tena kwa zaidi ya 15 hours unachangia tu!hata kama ni self employed sidhani kama unaweza kua na muda wote huo wa kushinda JF!
ok kumbe inawezekana humu tunadanganywa kaka hapa umeongea jambo la maana sana umenifungua macho kaka
ok kumbe inawezekana humu tunadanganywa kaka hapa umeongea jambo la maana sana umenifungua macho kaka