Kada CCM atinga na chopa ya Ndesa mkutanoni Moshi Moshi

Kada CCM atinga na chopa ya Ndesa mkutanoni Moshi Moshi

From: Mwigulu Nchemba
< shimbi85@gmail.com >
Date: Saurday April , 2015 at 1:10
PM
To: Zitto Kabwe
< zittokabwe@gmail.com >
Subject:Re: KUONGEZA NGUVU
Hon PM,
Apson sijongea naye. Naona hata
humu ndani mambo si mazuri.
Vijana wangu wameniletea taarifa
kwamba Vuvuzela (mropokaji)
anajaribu kila njia ikiwa ni pamoja
na kuwashawishi viongozi ili mzee
akatwe kwenye hatua ya kwanza
kabisa, maana pale juu kila mtu
yuko upande wetu. Tengeneza
mazingira, ila naona kila dalili
ikitokea tu, itakuwa vizuri kwako
ukimpisha. Maana itakuwa ni
tofauti na madai ya wengi
kwamba wewe ni mpenda
madaraka sasa watashangaa
kuona unamwachia.
Itakuwa pia vyema ukianza
kuzungumzia hii kwenye
majukwaa ili kuwatayarisha
wananchi kisaikolojia ila kwa
sasa hivi naona mipango yetu
yote iko sawa. Huyo mambo is a
dying horse. EL is a big engine!
They know na hakuna
wanachoweza kufanya at this
point. Juliana will call you she
has a message. Ila nikutakie kila
la heri kwenye mapambano leo.
Lameck
From: Zitto Kabwe
zittokabwe@gmail.com
Date: Sat, 11 Apr 2015 14:42:03
+0300
To: Mwigulu Nchemba
shimbi85@gmail.com
Subject: Re: KUONGEZA NGUVU
Comrade,
Makamuzi yanaendelea, nadhani
mmeona mambo ya makambako.
Hao washenzi wa ufipa mwaka
huu wataisoma namba, na ndoto
yao ya kuichukua nchi tunaiua.
Sasa kuna mapungufu. The
amount we have is very
insufficient. Naombeni tusaidiane
hapa, nadhani ili tukamilishe
shughuli by June tunahitaji 700m
pamoja na additional manpower
kwenye social media. Mapokezi na
muamko ni mkubwa sana toka
kwa wananchi CDM is dying.
Tafadhali jadili hii issue na prof
pia tujaribu kuongeza vijana
kwenye social media maana
tusipojibu mapigi hii issue ya
usaliti itasambaa na kuaminika.
Kwenye majukwaa tutawakaanga
kabisa na kuhusu bwana mkubwa,
inabidi tuanze rasmi kutengeneza
mazingira stahiki, ili Mangula na
wenzake wakijaribu kumzuia,
upande wetu ni rahisi
kumkaribisha
Cheers,
ZZK
From: Zitto Kabwe
zittokabwe@gmail.com
Date: Sat, 11 Apr 2015 5:47 AM
(GMT-5:00)
To: Mwigulu Nchemba
shimbi85@gmail.com
Subject: Re: KUONGEZA NGUVU
Comrade,
Kwema? Umewasiliana na Apson?
Naomba ongea naye. Budget ya
matangazo iongezwe. Muhimu
sana na posho za vijana kwenye
planning. Nimepata habari rasmi
kwamba Nyoka wa Mdimu
anasaidiana na CDM, na Vuvuzela
ndiye anayepenyeza taarifa kwa
Riz1. Hizi ni pamoja na biashara
nyingi za mzee. Wanamtumia
kijana anayeitwa Luckson
kupeleka taarifa ufipa, lengi ni
kumchafua his Excellency wakiwa
na malengo kwamba asifike hata
kwenye NEC. In politics anything
unanswered can be a big damage.
Counter haraka sana. Mbona
mnainyamazia Bahari Beach
Hotel? Apson inabidi aongezewe
nguvu. Mimi niko kwenye hii ziara,
and may not be in Dar for couple
of days. Prof yupo.
ZZK
 
Asante Mungu kwa kuendelea kuwadhalilisha Wanachadema,Hiyo helkopta ingekuwa mali ya mtu asiekuwa mkaskazini hakafu akawaazima ccm kuitumia kuidhifisha chadema ...Angeitwa kila aina ya Jina,lakini Kwa kuwa aliwakodishia ccm ni miongoni mwa wenye Chama Bavicha wamefyata Mkia....wanampongeza.....

Nakumbuka jinsi Mlivyoundanganya umma kuwa Zitto ni Mamluki kwa kuwa tu alienda Sudani na Rais Kikwete.

Hivi ingekuwaje kama Zitto angemkodishia gari Mwigulu Nchemba au Dialo akamkodishia gari Prof Kitila?

Povu lingewafumuka na kufurumusha matusi.

Chadema nawahurumia wale ambao hawajajitambua....
 
Ingekuwa Lowasa kakodi hiyo chopa watu wangetoka povu kweli hela kapata wapi kama si fisadi, lakini kwa huyo Ramole hawatachonga midomo, kweli Lowasa ni nyota ya jaha
 
Ndesa anakisaliti chama kwa kushirikiana na "magamba".
Hata hivyo, Ndesamburo alikiri helkopta iliyotumiwa na Ramole ni mali yake. Ndesamburo alisema kada huyo aliikodisha kwa dakika 30 kwa maelezo kuwa anataka kuona mandhari ya mji wa Moshi.
hata kusoma ni shida!? umeazima nguo uende nayo kanisani, ukaenda nayo bar!
 
Asante Mungu kwa kuendelea kuwadhalilisha Wanachadema,Hiyo helkopta ingekuwa mali ya mtu asiekuwa mkaskazini hakafu akawaazima ccm kuitumia kuidhifisha chadema ...Angeitwa kila aina ya Jina,lakini Kwa kuwa aliwakodishia ccm ni miongoni mwa wenye Chama Bavicha wamefyata Mkia....wanampongeza.....

Nakumbuka jinsi Mlivyoundanganya umma kuwa Zitto ni Mamluki kwa kuwa tu alienda Sudani na Rais Kikwete.

Hivi ingekuwaje kama Zitto angemkodishia gari Mwigulu Nchemba au Dialo akamkodishia gari Prof Kitila?

Povu lingewafumuka na kufurumusha matusi.

Chadema nawahurumia wale ambao hawajajitambua....

Yale Magari ya mkono ameshayarudisha mfalme Ayaatolah?
 
Back
Top Bottom