"Kachero" na Hatima ya CCM 2020

tumia akili ukawa weka pembeni
 
Post yote ni wish za mtoa post +story za vijiwe vya kahawa.
Bora ukose mali upate akili.
Nguvu ya Mungu ni kubwa kuliko mnavyofikiria na lipangwalo duniani limepangwa toka mbinguni.
Kwa taarifa yenu watanzania wanamuombea sana Rais wao mpendwa,hapo mtafeli tu hata mfanyeje mtaishia kuumia tu.
Eti wakongwe chamani wamekaa kimya.....hahhahhahh
Eti CCM ndani kunawaka moto...hahhahah...yani habari zenu zilezile za kutengeneza kabla ya uchaguzi uliopita 2015 bado mnaziendeleza.
Kwa taarifa yenu tena hakuna chochote kinachofanyika ambacho hakina baraka za hao wazee....hahhahhah
MTASUBIRI SANA.
TANZANIA SIO MALI YA MTU ACHENI KUZIJAZA SIFA FAMILIA FULANI ZIONEKANE KAMA ZINA HATI MILIKI YA HII NCHI(mtoa post na wengine akili ndogo msisahau kabla ya uchaguzi mlichokuwa mnakiongea juu ya familia hii na huyo mnaekuja kumpamba hapa,msiwe wepesi wa kusahau)
Tafuteni vitu vya kufanya muache kushinda mitandaoni na kuandika vitu vya uongo na upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…