Naona mtani bado umekomaa na chai, tokea 2014 hadi leoCHAI BORA ASUBUHI NA BAADA YA CHAKULA CHA JIONI.
1) KITUNGUU 2)TANGAWIZI 3) KITUNGUU SAUMU 4) TIMERIC🌹View attachment 3292680
CC: Angel Nylon 💗💗💗Naona mtani bado umekomaa na chai, tokea 2014 hadi leo
Hapa upate na kitu kama hiki sasa😋Matayatisho
Iliki ,tangawizi ya kusaga ,majani ya chai , maziwa na maji na sukati
Jinsi ya kuitengeneza
Ni rahisi sana ufundi ni kidogo
Chemsha maji yachemke kabisa kama robo lita hivi ongeza vikombe viliwi vya maziwa kisha iliki 5 au 6 ,ongeza tangawizi kijiko kidogo majani kiasi na sukari.
Chemsha kwa dakika 5 tena ipua chuja weka kwenye thermos.
Tafuta mahali penye upepo tulivu Enjoy kachai kako katamu
Huyu ni mpare anawaza makande tuu![]()
![]()
![]()
![]()
kalumanzila bwana!! Eti na kiporo cha makande!
Kwakweli🤣🤣Huyu ni mpare anawaza makande tuu
Mmmhhh 😍. MashaAllahAngel Nylon with all mighty love.. Missing you much more💕💕💕💕View attachment 3468395
Wapare sio watu shee!🤣Halafu shee unaunga mkono hoja🥵