Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #21
N'shaoa siku hz.
CC: Lady doctor
Nimeona mambo mazuri hongera sana
Last edited by a moderator:
N'shaoa siku hz.
CC: Lady doctor
Haha ndo maana niliamua kuwa cngo ledi tu hawa wavaa suruali hata hawana maana
Mmmmh
wakati mwingine inashindikana ujue.
Kabakabana huko mie siendi aise
haaaa,
Mwenyewe ilikuwa ngumu mwanzoni lakini nishazoea halikosekani kwenye pochi na stress sina tena
Siwezi
mmmh hapana,
Nikiwa na hamu ya mwanaume
I am sure yupo,
Sweety tusipotee tena wanadai walitumiss,wapi Klorokwini na Lizzy wajameni.Habari zenu wana chit chat.
I hope wote ni wazima na mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu.
Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu ilinipasa kupotea kwa muda lakini sasa nimerudi kujumuika nanyi wote.
Niliwamiss sana nyote
Inaelekea mambo sio mabaya ndugu yangu
Mie nikirudi huko lazima niwe nishanunua bastola
Sweety tusipotee tena wanadai walitumiss,wapi Klorokwini na Lizzy wajameni.
Ahh!
Si kivile, kiasi cha mboga !
ha ha haaa
haaaa,
mmmmmh.