OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,230
- 103,857
Duuh!! Mnamkalia kooni mtoto wa watu utadhania kitu gani. Lol.
Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii. 😎😎
Pole Mkuu yatakwisha. Ni mpito tu.Unamuona mtoto huyo wakati ameshavusha miaka 18, angekuwa mtoto angeenda kuhojiwa katika kipindi cha watoto
HaahaahaaUnamuona mtoto huyo wakati ameshavusha miaka 18, angekuwa mtoto angeenda kuhojiwa katika kipindi cha watoto
Huyu kaingia kwenye 18 zetu na bahati mbaya wanaomtumia wameshaanza kumkana na wanalaumu TFF eti wamekuwa wakali sana kwenye suala hili.
Dogo anasema line alishavunja baada ya kushauriwa na watu wake kuwa ili Simba isiendelee kukufuata fuata basi vunja line
Angalia hapa walivyokua wapoleDuuh!! Mnavyomkalia kooni utadhania kitu gani. Lol.
Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii.
Duuh!! Mnavyomkalia kooni utadhania kitu gani. Lol.
Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii. 😎😎