Kabwe Zitto huyu hapa

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
zittokabwe #sahihi70 tumepata
sahihi 62 mpaka sasa. Makao
makuu CUF imetoa agizo
kwamba wabunge wao waweke
sahihi. Tutafanikiwa
 
mtu mzima chali....ndevu mwaaaaaaaaaaa hadharani!!.
 
its you plus your colleagues who will mark a new history of this country,WE HARDLY JOIN HAND NA WE PLAY ILI hlo tufanikiwe nasi tuacnze kuishi
 
Hivyohivyo CDM hao majambazi mpaka kieleweke!
 
saini zimesha patikana 73. hiyo habari yako ni ya saa saba mchana.
 
kwa hiyo mpaka sasa Pinda anaweza kupigwa chini!
 
Pamoja tutafika na mambo yote yataeleweka Mkubwa Zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…