Kaburu Matatani kwa Kupanga Kumuua Mandela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaburu Matatani kwa Kupanga Kumuua Mandela

Discussion in 'International Forum' started by Gumzo, Jul 27, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Mtu aliyepanga njama za kutaka kumuuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amepatikana na hatia.


  Mahakama ya Pretoria ilimpata kiongozi wa kundi la -Boeremag linaloamini kuwa mtu mweupe ni bora alipatikana na hatia ya kupanga kummua Mandela mwaka 2002.


  Bwana Mike du Toit ndiye aliyepanga milipuko tisa katika eneo la Soweto mjini Johannesburg mwaka 2002.


  Kiongozi huyo wa kundi la ki-baguzi ni mtu wa kwanza kupatikana na hatia tangu utawala wa wengi uanze mwaka 1994 Afrika kusini.


  Wachanganuzi wanasema kuwa bado kuna hali ya kutopendana katiki ya watu wa rangi tofauti nchini Afrika kusini.
  Hata hivyo kundi kama la Boeremag,inayomaanisha Nguvu za Makaburu miongoni mwa Makaburu ,halina ufuasi mkubwa.


  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI

   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Waachane naye bana, Mandela ni mtu wa Msamaha, naamini hatafurahia akisikia jamaa amefanywa cchochote kibaya!
   
 3. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mungu akiwa upande wetu hata iweje tunashinda Mandela hakuwa nakosa ndio maana walishindwa kumuua
   
 4. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  kaburu ni kaburu tu
   
Loading...