Kaburi lililovunja rekodi,maiti yawekewa kitanda,tv,vinywaji n.k.

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,841
attachment.php

Sasa uachane na stori zote za watu maarufu na wasio maarufu, matajiri na masikini waliokufa na kuzikwa ndani ya majeneza mazuri na yaliyo na thamani kubwa, hayo tulikwisha yazoea kitambo sana.

attachment.php

Kiboko cha yaote mtu aliyezikwa katika kaburi lililotengenezwa kama chumba cha kulala kilicho na samani tofauti za thamani kubwa sana kama vile flat screen, dreassing table, kitanda na vitu vingine vingi mpaka mvinyo, perfumes na vingine vingi, hii ndio top katika dunia hii, angalia picha zaidi za tukio hilo.

attachment.php
 
Attachments

 • ImageUploadedByJamiiForums1402574380.330809.jpg
  ImageUploadedByJamiiForums1402574380.330809.jpg
  53.7 KB · Views: 1,968
 • ImageUploadedByJamiiForums1402574424.531779.jpg
  ImageUploadedByJamiiForums1402574424.531779.jpg
  56.2 KB · Views: 2,294
 • ImageUploadedByJamiiForums1402574617.397355.jpg
  ImageUploadedByJamiiForums1402574617.397355.jpg
  55 KB · Views: 1,910
pesa nazo zikiwazidia watu.....ni shiiiidaa!! ila kuna minjemba itarudi usiku kufanya kazi zao.....watamsaidia marehemu kuviuza kwa wadau.
 
Kama unajua mistari hii katika kitabu kitakatifu na kama una akili timamu huwezi kuhangaika kufikiri kuweka air-condition ndani ya kaburi

"...wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi."

attachment.php
 
Wazike hivyo kinomdoni waone! Watu huwa wanachomoa hadi misalaba ya 80,000 sembuse hizo flat screen!
 
pesa nazo zikiwazidia watu.....ni shiiiidaa!! ila kuna minjemba itarudi usiku kufanya kazi zao.....watamsaidia marehemu kuviuza kwa wadau.

Hii ningependa kama inguwa hapa kwetu bongo wallah hata soksi wangemvua kisingebaki kitu
 
Kama unajua mistari hii katika kitabu kitakatifu na kama una akili timamu huwezi kuhangaika kufikiri kuweka air-condition ndani ya kaburi

"...wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi."

attachment.php

Huo ndio ukweli!
 
Wakaushe na maiti yake ili adumu milele. Hakina kiburi cha hela wakati kuna Yatima hata basic needs hawana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom