Kaburi la Escrow litamuacha Magufuli salama?

Magufuli ni level ingine, anawaacha mafisadi wajisahau kwa kuamini anayosema. Huku anapata mwanya wakuwachunguza na kufatiliwa.

Kama sasa naamini tangu juzi anapewa habari za wengi wanao angaika

Magufuli oyeeeee
 
Watu waliowahi kufanya kazi BOT wanajua kuwa
kila ikifika kipindi cha kubadili Rais...kuna pesa zinapigwa

Wakati Mwinyi anaondoka mwaka 1995 BOT watu 'walipiga pesa'
zilikuwepo story za watu kuondoka na magazeti BOT wakaenda kukata wenyewe
majumbani mwao...

Mwaka 2005 ikaja EPA...upigaji mwingine style tu ndo tofauti

halafu ikaja ya mwaka 2015 Escrow....ni kama utaamaduni
watu wamejiwekea wa kupiga hela na kugawana Rais anapomaliza mda wake...

Magufuli alisema hatafukua makaburi ajabu hili kaburi kaanza kulifukua

Kwa jinsi ambavyo Escrow inamgusa karibu kila mtu ndani ya CCM
na hata Taasisi za dini.....swali la kujiuliza je Magufuli ataliweza hili kaburi?
au atatafuta njia fupi tu ya kulimaliza bila kugusa 'wenyewe'?
Akili kubwa watakuelewa kufukua makaburi kwa lumumba hakuna atakae baki salama...mana hakuna msafi ndani ya chama rejea kauli ya kingunge 2015
 
Kama kweli ana nia njema na nchi hii afulumue kila kitu..

Nyumba za serikali, kivuko cha Bagamoyo, nk nk.

Hapo ndio tutamuona yupo serious na vita ya ufisadi.

Kwa mfano sijaelewa kwanini hadi hivi sasa Lugumi hajawahi kuguswa na utawala huu.

He isn't serious.
 
Unaijua nguvu ya Rais wa Tanzania?

Katiba ya Tanzania kwenye Ibara ya 33(1-2) inasema hivi;
33.-(1) Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano.
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not the enemy, for every victory gained you will also suffer a defeat. If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle-Sun Tzu, The art of war
huyu Sun Tzu huwa namkubali sana
 
Watu waliowahi kufanya kazi BOT wanajua kuwa
kila ikifika kipindi cha kubadili Rais...kuna pesa zinapigwa

Wakati Mwinyi anaondoka mwaka 1995 BOT watu 'walipiga pesa'
zilikuwepo story za watu kuondoka na magazeti BOT wakaenda kukata wenyewe
majumbani mwao...

Mwaka 2005 ikaja EPA...upigaji mwingine style tu ndo tofauti

halafu ikaja ya mwaka 2015 Escrow....ni kama utaamaduni
watu wamejiwekea wa kupiga hela na kugawana Rais anapomaliza mda wake...

Magufuli alisema hatafukua makaburi ajabu hili kaburi kaanza kulifukua

Kwa jinsi ambavyo Escrow inamgusa karibu kila mtu ndani ya CCM
na hata Taasisi za dini.....swali la kujiuliza je Magufuli ataliweza hili kaburi?
au atatafuta njia fupi tu ya kulimaliza bila kugusa 'wenyewe'?
Yeye ameingizwa madarakani na pesa za escrow
 
Mbuzi wa kafara wameshafahamika na hao ndo wameshakamatwa. Mahakama zetu hazipo huru kuunda tume ya kimahakama ya kuchunguza swala la Escrow.
Rugemalila na Seth ndo wameshakamatwa na kesi itaishia kwa hao.
Huyo JPM sio msafi kama watu wanadhania, toka aingie madarakani kuna mengi ameyafanya bila kuhusisha bunge.
Kuna ufisadi umejificha ndani yake.
Yani Singasinga na Rugemalila leo ni mbuzi wa kafara?

Hivi mnawaza kwa kutumia nini?

Yani hivi vyama ndio vimefubaisha akili zetu kiasi hiki?

Nenda kamuulizeni Kubenea Rugemalila na Singasinga ni kina nani!
 
Watu waliowahi kufanya kazi BOT wanajua kuwa
kila ikifika kipindi cha kubadili Rais...kuna pesa zinapigwa

Wakati Mwinyi anaondoka mwaka 1995 BOT watu 'walipiga pesa'
zilikuwepo story za watu kuondoka na magazeti BOT wakaenda kukata wenyewe
majumbani mwao...

Mwaka 2005 ikaja EPA...upigaji mwingine style tu ndo tofauti

halafu ikaja ya mwaka 2015 Escrow....ni kama utaamaduni
watu wamejiwekea wa kupiga hela na kugawana Rais anapomaliza mda wake...

Magufuli alisema hatafukua makaburi ajabu hili kaburi kaanza kulifukua

Kwa jinsi ambavyo Escrow inamgusa karibu kila mtu ndani ya CCM
na hata Taasisi za dini.....swali la kujiuliza je Magufuli ataliweza hili kaburi?
au atatafuta njia fupi tu ya kulimaliza bila kugusa 'wenyewe'?
Kashasema wahusikawakuu walioidhinisha wasiguswe.

Ukishaanza hapo tu utajua maigizo.
 
Akili kubwa watakuelewa kufukua makaburi kwa lumumba hakuna atakae baki salama...mana hakuna msafi ndani ya chama rejea kauli ya kingunge 2015
Hivi hizo akili kubwa ni zipi hasa?

Mbona huwa sizioni bali naona makamasi tu vichwani mwenu!
 
Watu waliowahi kufanya kazi BOT wanajua kuwa
kila ikifika kipindi cha kubadili Rais...kuna pesa zinapigwa

Wakati Mwinyi anaondoka mwaka 1995 BOT watu 'walipiga pesa'
zilikuwepo story za watu kuondoka na magazeti BOT wakaenda kukata wenyewe
majumbani mwao...

Mwaka 2005 ikaja EPA...upigaji mwingine style tu ndo tofauti

halafu ikaja ya mwaka 2015 Escrow....ni kama utaamaduni
watu wamejiwekea wa kupiga hela na kugawana Rais anapomaliza mda wake...

Magufuli alisema hatafukua makaburi ajabu hili kaburi kaanza kulifukua

Kwa jinsi ambavyo Escrow inamgusa karibu kila mtu ndani ya CCM
na hata Taasisi za dini.....swali la kujiuliza je Magufuli ataliweza hili kaburi?
au atatafuta njia fupi tu ya kulimaliza bila kugusa 'wenyewe'?
Kwenye hitimisho lako - hao "wenyewe" unaosema hawawezi kuguswa ni kina nani na wanatoka sayari gani???
 
Yani upinzani wataongelea ufisadi wote ila kuhusu Richmond sidhani kma wataongelea hapo ndio tuna -define neno SIASA
 
Kwahiyo point yako ni nini sasa? Aache au? Hata kama ataguswa si ndio vizuri?

Wakati mwingine wakosoaji wa Magufuli huwa naona kama hamjitambui hivi.
Tatizo la Tanzania wenye akili wapo kimya wajinga ndio wanaopayuka ndio sababu mjinga kama wewe pia unaamini una akili kumbe wapi. Boya kabisa.
 
Watu waliowahi kufanya kazi BOT wanajua kuwa
kila ikifika kipindi cha kubadili Rais...kuna pesa zinapigwa

Wakati Mwinyi anaondoka mwaka 1995 BOT watu 'walipiga pesa'
zilikuwepo story za watu kuondoka na magazeti BOT wakaenda kukata wenyewe
majumbani mwao...

Mwaka 2005 ikaja EPA...upigaji mwingine style tu ndo tofauti

halafu ikaja ya mwaka 2015 Escrow....ni kama utaamaduni
watu wamejiwekea wa kupiga hela na kugawana Rais anapomaliza mda wake...

Magufuli alisema hatafukua makaburi ajabu hili kaburi kaanza kulifukua

Kwa jinsi ambavyo Escrow inamgusa karibu kila mtu ndani ya CCM
na hata Taasisi za dini.....swali la kujiuliza je Magufuli ataliweza hili kaburi?
au atatafuta njia fupi tu ya kulimaliza bila kugusa 'wenyewe'?

Escrow imeeshia kwenye mifuko ya watu binafsi.
 
All things works together for good. Mungu huruhusu mambo yatokee kwa makusudi maalumu. Acha alifunue hilo kaburi ila nikweli litawasomba watu wengi sana, na hapo tutajua jinsi ccm wanavyoibaga pesa za umma kufanikisha kampeni zao
 
Kwahiyo point yako ni nini sasa? Aache au? Hata kama ataguswa si ndio vizuri?

Wakati mwingine wakosoaji wa Magufuli huwa naona kama hamjitambui hivi.
Mkuu unasumbuka nn kauli za mh. ww kama zina utata mwingi? Aliposema hafukui makaburi ww hukumsikia? Na je ww hujui pia kuwa escrow ni issue inayowagusa wale aliosema wasiguswe? Kwa nn wakisema haelewwki wako sawa
 
Unaijua nguvu ya Rais wa Tanzania?

Katiba ya Tanzania kwenye Ibara ya 33(1-2) inasema hivi;
33.-(1) Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano.
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not the enemy, for every victory gained you will also suffer a defeat. If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle-Sun Tzu, The art of war
The subtlety art of spying
 
Back
Top Bottom