Kaburi la aina yake

Kaburi la aina yake

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,903
IMG00012.jpg



IMG00014.jpg


IMG00011.jpg

IMG00010.jpg


Hili ni kaburi la kijana yatima aliyakuwa akilelewa katika kituo kimojawapo cha kulelea watoto yatima jiji
Dar se salaam.

Kisa cha kujengewa kaburi la aina hii ni kwasababu kijana huyu alikuwa anapenda sana magari, ikatokea siku akapata rafiki wa kizungu baadaye huyo mzungu akamhaidi kuwa anasafiri kwenda kwao ila akirudi atamnunulia gari.

Wakati huyo rafiki yake akiwa safarini yule kijana alipata aliugua na kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 21, mzungu aliporudi kutoka kwao kweli alikuja na pesa ya kumnunulia gari lakini bahati mbaya akakuta kijana amekwishafariki dunia ndipo akaamua kutumia kiasi cha pesa hiyo kumjengea kaburi la aina hii.
 
Fundisho,Ni kwamba huyo mzungu ni mzungu kweli.Kama angekuwa mmbogo ungecheki.Angenunua gari awape ndg.zake.Thawabu iwe ju yake huyo mzungu.RIP mareh.
 
Hah! mods please uzi huu mbona mmeuamisha?
 
Hiki kisa kiliwahi andikwa pia kwenye gazeti moja,its true story.r.i.p dogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom