Kabudi, Samia na seeikali yote ni Haramu

Kabudi, Samia na seeikali yote ni Haramu

Nchi inaongozwa na genge la wahuni
Jeshi likilinda Nyaraka mhimu zispotee
Labda.
 
Wamejipachika kwenye nafasi walizimo kwa gharama za damu za Watanganyika. Wauaji wanavuja damu za wananchi, ndiyo maana hawana mvuto mbele ya wananchi.
Laana ikatande juu yao na vizazi vyao. Kamwe hawataionja furaha wala amani mioyoni mwao, sawa na ilivyokuwa kwa Kaini.
 
Back
Top Bottom