Kabudi ndiyo Goebbels wa leo

Kwa nini usiwepo?
Ni mapenzi ya Mungu, heri yako unaye jihakikishia kuwa utakuwepo na mtakuwa mko madarakani,Mimi kila dk,saa,siku ,wiki hadi mwaka na Mshukuru Mungu maana yeye ndo muweza wa yote.Utukufu ni kwake.
 
Nyerere yupi huyo? Mbona hao walitoa misaada?
 
Ni mapenzi ya Mungu, heri yako unaye jihakikishia kuwa utakuwepo na mtakuwa mko madarakani,Mimi kila dk,saa,siku ,wiki hadi mwaka na Mshukuru Mungu maana yeye ndo muweza wa yote.Utukufu ni kwake.
Yote mapenzi ya Mungu watafanya watakao kuwepo
 
Ukifuatilia matamshi na matendo yake, ni dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku Goebbels.
Goebbeles alikuwa smart sana upstairs na hata propaganda zake zilikuwa tishio mpaka leo.
 
Goebbeles alikuwa smart sana upstairs na hata propaganda zake zilikuwa tishio mpaka leo.
Sasa huyu wa kwetu ni kiazi kabisa. Anatumia nguvu nyingi kuongea utumbo. Mimacho, povu na mimate kwa wingi.
 
Hivi mkuu nyie mnaokula keki ya taifa huwa "mnapata shida"? Wanaopata shida si ni hawa wala vumbi?

Masharti ya mikopo yaliyotolewa ni kufuta sheria kandamizi ya takwimu, sheria ya vyama vya siasa, na kuondoa zuio la watoto wa kike waliopata mimba kuendelea shule!

Masharti yote yaliyotolewa yana tija maana yanalenga kuondoa udikteta-koko na sheria za kibabaishaji!

Wewe hayo yote hutaki....eti??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…