Kabrasha la serial killers

Wanasema safari moja huongeza nyingine. Once a killer, always a killer.
 
Mwananchi anafia mikononi mwa walinda usalama akidai wamrudishie vitu vyake zikiwemo pesa tasilimu milion kadha... Siku mbili baadae inaonekana maiti yake ikiwa imetupwa porini
Uchunguzi unafanywa na wana usalama saba wanakamatwa wakituhumiwa kuhusika na mauaji, wanasweka lupango kusubiri uchunguzi... Siku mbili tatu anakutwa mmojawao kafia chumba cha selo kwa madai kwamba kajinyonga....! Nijuavyo mimi damu ya mtu hunuka!
 
Mkuu Mshana kwa sasa Bora ukutane na majambazi watakuhurumia kuliko kukutana na askari police.

Ukiwa mikononi mwa police usalama ni mdogo sana na nihatari sana
 
Mkuu Mshana kwa sasa Bora ukutane na majambazi watakuhurumia kuliko kukutana na askari police.

Ukiwa mikononi mwa police usalama ni mdogo sana na nihatari sana
Ukiwa mikononi mwa police usalama ni mdogo sana na nihatari sana[emoji848][emoji2827]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…