Kuna watu humu wanasema jamaa kadokoadokoa hii mada sijui ishaletwa humu mwaka gani,hiyo haijalishi Mimi nimeshukuru sana kupata hivi vitu nilikuwa sijui.
Wee vipi wewe kwani mpaka upate ruhusa yangu!? Weka! Kwani shida iko wapi? Ifike mahali uache utoto na upumbavu.. Unatambua kwa hakika kwanini nasema hivi...!