Kabla ya Tanganyika, nchi yetu ilikuwa inaitwaje?

Uko sahihi
Before uhuru .wakati wa ukoloni wa kijerumani tanganyika na kenya na uganda ziliitwa GERMAN EAST AFRICAN COLONY
Wakati wa muingereza nadhani ndio ikawa TANZANYIKA

Pia kuna majina kama AZANIA
na MZIZIMA nina wasi wasi nayo huenda moja wapo ilikua jina la nchi hii
Mzizima n dar es salaam
 
Mwanzo ilikuwa German East Africa(GEA) hapo ni nchi Uganda ya sasa,kenya ya sasa,Burundi Ya sasa,Rwanda Ya sasa,....baada ya vita vya dunia vya kwanza, German alianza kama kuishiwa nguvu,akaona atafute power kwa mfaransa,ambae Ufaransa alikuwa anatawala CONGO yoote bila kuchangia na mtu,German aliwekeana mikataba na Mfaransa kuwa akishinda vita atamkatia sehem ya katika Ardhi anayoitawala,baada ya German kushinda vita ndipo alipomkatia Mfaransa kipande BURUNDI na RWANDA ....hivi vilikuwa vipande vidogo sana kwa German,baadae German kwenye mkutano wa BERLIN watengeneza majimbo katika ardhi yake,na sehem zingine za AFRICA kwa ujumla,ambapo alikuwa akiangalia wapi kabila linanguvu au linatambulika sana nje na ndani ya mipaka yake,kupatikana jina TANGANYIKA lilitokana na ZIWA na samaki Maarufu na waliokuwa wakipendwa sana na WAJERUMAN wakat huo waliokuwa wanapatikana KIGOMA walioitwa TANGA wengine wanaitwa NYIKA...ni samaki wanaoishi kwenye kina kirefu na ukiwavua hao na kuwala huwezi taman samaki wengine,Hivyo hivyo wakaona waite TANGANYIKA kama jimbo,Uganda walikuwepo BAGANDA EMPIRE ambalo ni kabila kuubwa na lenye nguvu wakati huo wakaona waite UGANDA,Kenya hivyo hivyo walikuwepo wa KIKUYU yaani KUYU EMPIRE....wakaona waite KENYA@hamis mlyomi +255766365465
 
Kabla ya Tanganyika kujiunga na Zanzibar na kuwa Tanzania waliozaliwa Tanganyika walikuwa wanatumia utambulisho upi?
 
Back
Top Bottom