Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,965
- 6,911
Hapa tunazungumzia mataifa ya nje yanatuonaje, sio Fundi Mchundo anafikiria nini. Huko hawana njia ya kuangalia uhalisia hivyo wanategemea makaratasi.We unaangalia makaratasi. Angalia uhalisia.
Amandla...