Kabla ya Rais Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana sana. Sasa hivi inajulikana kila pembe ya Dunia

Kiswahili wakati mwingine kina uchache wa maneno au pengine hatuyajui.

Kuna tofauti kubwa kati ya famous na infmous
 
Janjajanja na hadaa iliyokuwa inafanywa na wapinzani sasa iko wazi,Watanzania waliowengi wameshang'amua kuwa upinzani wa nchi hii umejaa uhuni tu. Mtu anasema hivi leo kesho anabatilisha na mifano ipo.Mosi,kabla ya mwaka 2015 tuliaminishwa na wapinzani wa nchi hii hasa chadema kuwa Lowassa ndio nembo ya ufisadi Tanzania,Lowassa huyo huyo aligeuzwa kuwa msafi na hakuongelewa tena kuwa fisadi baada ya kuwa mgombea uraisi wao.

Pili, kabla ya mwaka 2020 tuliambiwa kuwa Kinana alikuwa akijihusisha na ujangili wa wanyama hasa tembo hadi ilifika muda makamanda wakiingia baa kunywa bia ya Tusker walikuwa wakiagiza niletee Kinana mbili za moto au baridi. Mwaka huu mwezi May mmeshuhudia wenyewe jinsi Msigwa alivyoita waandishi wa habari na kumuomba radhi Kinana hadharani kwa aibu na soni kubwa kuwa ule ulikuwa uzushi tu.

Tatu,kipindi cha kampeni 2015 mbowe alisema endapo wasingeshinda nafasi ya urais basi angeacha siasa mara moja,walipigwa vibaya na bado anaendeleza umwinyi wake ndani ya chadema hataki kuachia uenyekiti.

Nne, baada ya Wenje kushindwa ubunge Nyamagana na comrade Stanslaus Mabula(Shing'oma) Wenje akiwa na mawakili wa chadema walifungua kesi mahakamani mwaka uliofuata 2016 kupinga ushindi wa Mabula,katika lile jopo la wanasheria alikuwemo yule mropokaji tundu lissu.

Tundu lissu alijiapiza kuwa endapo wangeshindwa kwenye ile kesi basi yeye binafsi angeacha siasa.katika ile kesi upande wa Mabula ulishinda na Tundu lissu hakuongea chochote na akaendelea na siasa zake za uropokaji,kejeli na matusi kama ulivyo sera ya ufipa.

Niwaambie,upinzani hasa chadema kwa sasa hauaminiki na hawana jipya tena,hivi mtanzania achague mgombea wa chadema kwa lipi?Achague matusi? Kwa kazi alizofanya na anazofanya Mh.Rais Dr John P. Magufuli za kuwaletea Watanzania maendeleo mtasubiri Sana, kila mtu anajua hata dunia inajua hata wale mnaodhani wanawaunga mkono.Baada ya June 19,2020 nadhani familia ya mbowe tu ndio itakayobaki chadema,time will tell.
 
Janjajanja na hadaa iliyokuwa inafanywa na wapinzani sasa iko wazi, Watanzania waliowengi wameshang'amua kuwa upinzani wa nchi hii umejaa uhuni tu. Mtu anasema hivi leo kesho anabatilisha na mifano ipo. Mosi,kabla ya mwaka 2015 tuliaminishwa na wapinzani wa nchi hii hasa chadema kuwa Lowassa ndio nembo ya ufisadi Tanzania,Lowassa huyo huyo aligeuzwa kuwa msafi na hakuongelewa tena kuwa fisadi baada ya kuwa mgombea uraisi wao...
Kabisa mkuu jpm kaja kuinua taifa na kulifanya imara diniani
 
Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master's in Leadership and Management.


Keep on waiting in the appointment list in which your name has been recorded, for the admirations you have enumerated, you are going to be appointee in a high government post, frankly speaking, mark my words-- as we are experienced enough in such moves. 🤣 that is a good card you have drawn along with your CVs.
 
Uongo hautakufikisha mbali. Nchi gani hiyo unakojificha kujulikana kama mtanzania?
Unakojulikana kama muua ma albino. Unakoulizwa kwa nini mnaua bibi vizee vyenye macho nyekundu
Unakohisiwa kuwa wewe ni punda wa Wanaijeria.

Unakoambiwa kuwa nchi yako ni ya tatu kutoka chini katika nchi ambazo wananchi wake hawana furaha

Amandla...
 
Unakojulikana kama muua ma albino.
Unakoulizwa kwa nini mnaua bibi vizee vyenye macho nyekundu
Unakohisiwa kuwa wewe ni punda wa wanaijeria
Unakoambiwa kuwa nchi yako ni ya tatu kutoka chini katika nchi ambazo wananchi wake hawana furaha

Amandla...
Wanakojulikana matapeli waliopiga pesa ya ruzuku billion 8.9
 
Magufuli is a country bumpkin.

The laughingstock of the world.

Of course he has heralded a new era of leadership by chicanery in Tanzania.

And that puts us on the map.
 
Unakojulikana kama muua ma albino.
Unakoulizwa kwa nini mnaua bibi vizee vyenye macho nyekundu
Unakohisiwa kuwa wewe ni punda wa wanaijeria
Unakoambiwa kuwa nchi yako ni ya tatu kutoka chini katika nchi ambazo wananchi wake hawana furaha

Amandla...
Nchi amabayo haina furaha. Kila raia nchi jirani anataka aje kuishi hapa Tanzania. Kama ni uhalifu uliosemani suala la mtu mmoja mmoja na serikli ya Tanzania inapambana nao.
 
Unakojulikana kama muua ma albino.
Unakoulizwa kwa nini mnaua bibi vizee vyenye macho nyekundu
Unakohisiwa kuwa wewe ni punda wa wanaijeria
Unakoambiwa kuwa nchi yako ni ya tatu kutoka chini katika nchi ambazo wananchi wake hawana furaha

Amandla...
Ni nchi gani hiyo? Taja tu usiogope na kuanza kuzunguka mbuyu. Usilete umbowe wa ufipa hapa.
 
Back
Top Bottom