Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Adhabu pekee sio Kifo ,na Sababu moja haiwezi kuhalalisha Jambo kuwa ndivyo lilivyo.Mlijaribu kumuua Lissu mkashindwa kuua Mawazo kinzani ktk Vichwa vya Watu.
Kuna watu mnateseka sana moyoni na Magufuli kuwa Rais.
Hakuna morals kwenye siasa kamandaUkiwa na morals lazima uchukie wizi utakutesa.
Magufuli hakufaa hata kuwa mwenyekiti wa kijiji , nchi imekwama kibwege sana !Kuna watu mnateseka sana moyoni na Magufuli kuwa Rais.
Mwisho wa siku wote tunaishia kufa, hivyo kuongelea kwamba Binadamu xyz akifariki ni kwamba kaadhibiwa ni ujinga na utoto, kwanza hata baadhi ya watoto wanajua kwamba maisha na vyote vilivyomo kuna mwisho, ...
Hakuna morals kwenye siasa kamanda