Uchaguzi 2020 Kabla ya hii miaka mitano haijaisha, uwezo wa Mungu utakuwa umejidhirisha kwa wanaotuhumiwa kuhujumu uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Mungu anaipenda Tanzania kuliko unavyodhani. Yeye huangalia mioyo kuliko mazingira.
 
Mwandishi ni mbea na mwoga Sana wa maisha!!

Maneno ya kwenye kanga anayapenda Sana kulio uhalisia wa mambo
 
Amri ya saba ya Mungu; usiibe
Hongereni sana ccm!

Hongereni sana kwa kumwacha Mungu
Hongereni kwa kumkumbatia 'yule mwovu'

Hongereni kwa viapo batili mnavyoapa navyo tena kwa kumtaja Mungu.
'Hasira ya Mungu itawaka juu yenu na juu ya nyumba zenu' asema Bwana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom