Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
hahahaha hebu niahadithie enzi zako kabla ya dot com
hata sikumbuki shosti ivi nilikuwepo kweli kabla ya .com!
hahahaha hebu niahadithie enzi zako kabla ya dot com
hata sikumbuki shosti ivi nilikuwepo kweli kabla ya .com!
hahahahaha may be ulikuwa unasimama dede
may be, kwani we unakumbuka kumbuka unihadithie shost?
Duhh..... alikuwa na vituko sana, hadi ukubwani utata ni mtindo mmoja.. Ha! Ha! Ha! Ladies and Gentlemen...And the Winner is ---- Sista wake Bujibuji. Lol!:wink2:
kumbe weye mutoto ndogo ee?duuuuh kuna watu wa kitambo humu!
kumbe weye mutoto ndogo ee?
itabidi upate desa la kanuni za bunge maalummmnh! sijui
aisee sipendi watu wanaopanik unajua... wapi nimeandika ubelgiji mkuu?
btw, mbo mpenza kazaliwa kongo, then kahamia belgium... next time uwe unasoma kwanza kabla hujatuhumu watu...
itabidi upate desa la kanuni za bunge maalum
desa litakusaidia kupata uzoefu wa kubishana.hahaaah! la nini sasa?
desa litakusaidia kupata uzoefu wa kubishana.
Mimi siwezi panic mkuu, Mbo Mpenza alichezea klabu gani Congo mimi navyojua Mbo alikuwa na ndg yke walikuwa wanacheza klabu za Ubelgiji ila walikuwa wana asili ya Congo kama unavyomuona Vincent Kompany wa Man city na Mbo Mpenza alikuwamo kwenye kikosi cha Ubelgiji kilichoshiriki World Cup nchini Korea kusini na Japan. Wakati huo FIFA haikuwa na sheria kama ulicheza timu ya taifa vijana ya nchi nyngne unaweza cheza timu ya taifa ya wakubwa ya nchi nyngne ambayo una uraia kwahvyo ningesema labda timu zetu za vijana ziliwahi kukutana yaani Tz na DRC na Mbo akiwepo.Wakati redio zinaanza kutangaza world cup ni mwaka 1998 na ilikuwa inatangazwa na radio Tumaini.