matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,586
- 15,369
Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani.
Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa.
Leo covid 21 tunaiita Delta, akibadilika akija mwingine labda Covid Dec 21 siamini kama kinga itamtambua, utakwenda na maji. Virusi hubadilikabadilika.
Ushauri wangu
Nchi ingeelekezwa kujiizatiti kwa watu wake kuimarisha kinga za miili ambazo Mungu ametupatia.
Tutafutiwe miti au maua au mizizi yenye virutubishokinga. Badala ya watu kunywa supu na chapati asubuhi unakunywa hata juice ya mwarobaini na supu ya majani ya mpera au mkaratusi.
Mchana wale ambao hawana uwezo wa kula matunda, wanasukumia hata na kachumbari ya vitunguu, kashwagala na majani ya papai.
Watu wa madawa ya kienyeji wanisaidie kupanga menyu vizuri hapo.
Sioni sababu ya kudungana sindano za vitu ambavyo havina faida ya kueleweka kisa beberu kasema. Na binafsi sina uhalali wa kufanyia kazi maneno ya mtu aliyeunga msimamo wa kwanza wa kutochanjwa kabla hajafafanua kwa kina nini kimemsukuma kubadili mwelekeo ghafla na kwa usadikisho upi usiotia shaka.
Pata Muda wa kujitafakari kwanza, usikurupuke kisiasa